JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mashirika ya kimataifa yanapiga pesa ndefu..... Asasi za kiraia nchini "zinapiga pesa ndefu".... Wote hao wanapinga watanzania wenzetu kuitwa wakazi wa Ngorongoro bali wanataka waitwe...
0 Reactions
6 Replies
275 Views
Kwa wale waliosoma Mihayo Primary school na kumaliza mwaka 1974 Tabora hebu tukumbushe ni kitu gani kilichokufurahisha sana au kukuchukiza kipindi kile.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari, Em fikiria mko katika shule fulani ivi mkiwa mnajiandaa na mtihani kama testi kesho asubuhi saa 12 asubuhi, wewe na rafiki zako wa wili jumla mko watatu usiku mkapanga kutoroka...
0 Reactions
1 Replies
249 Views
Mwifwa, njoo unisaidie. Eti hii ni Nini anayoifanya Baba Swalehe ?
11 Reactions
29 Replies
3K Views
Nina rafiki ambaye ni mpenda sifa mimi mtu mwenye sifa siwezani nae naweza kaa nae mnapiga story za kawaida tu ila ataanza jisifia hapo mara yeye hivi mara vile ni kero for sure Mimi sipendi...
9 Reactions
41 Replies
826 Views
1. Kutembea na toothpick baada ya kutoka kula na kuchokoa meno hadharani. 2. Kuruka foleni (jumping queue) 3. Kuficha nyaraka ili uonekane mjuaji Uzi tayari
2 Reactions
12 Replies
761 Views
Wakuu sasa nimerudi mjini kutoka kijiji Mbeya, hapa nina ideas kama 10 zikupiga hela za Watanzania kihalali bila kutumia nguvu. Huku soko langu kubwa likiwa: 1. Wazee wanaoogopa kufa 2. Wamama...
9 Reactions
61 Replies
955 Views
Wakati wa kununua ng'ombe, usinunue kijijini kwako. Kwa sababu siku moja ng’ombe akienda mtoni kutafuta maji au kunywa maji, na mwenye ng’ombe wa zamani aliyekuuzia akimuona anaweza kumuelekeza...
8 Reactions
15 Replies
380 Views
Ni Mzee ambaye pamoja na kuwa ni mwana Yanga SC na Mimi kuwa mwana Simba SC ila huwa ananichekesha mno.
5 Reactions
15 Replies
287 Views
Daah! jela bana.. Sitasema kosa langu ila Mamndenyi analijua.. na hata sema.. Nafili maugwadu ugwadu.. Jembe langu Erickb52 unanipoza na nani kati ya Chocs au Kipipi?.. Kule kwenye seva...
4 Reactions
241 Replies
10K Views
Wana CC, Hope mko vyema.. najiingiza hapa nikiwa murua kabisa! Nahitaji kufanya mahojiano ya wazi na wadada wafuatao, Smile, Heaven on earth na Mrembo by Nature.. Kama mpo tayari naombeni...
0 Reactions
337 Replies
12K Views
Tutafute pesa sana, jirani yangu kanunua TV mpya alafu ananiuliza kama nahitaji box?.
39 Reactions
57 Replies
1K Views
Kila unachofanya unakuwa bored afu wimbo wa Damian Marley Jr na Bruno Mars liquor store unajirudia kichwani. I'll take one shot for my pain One drag for my sorrow Get messed up today I'll be ok...
2 Reactions
3 Replies
239 Views
Leo ni friendship day Nani rafiki yako kindaki ndaki
6 Reactions
57 Replies
765 Views
Kadri unavyokutana na kujuana na watu wengi ndio unagundua kwanini Nuhu alibeba wanyama wengi kwenye Safina kuliko BINADAMU! 🤔
1 Reactions
0 Replies
81 Views
Nimeipokea miaka 27 nikiwa (happy) happily regardless of the future...... Nisaidieni kuniwish basi
9 Reactions
39 Replies
893 Views
Kipindi nasoma A level kuna Aunty yangu alinikopa hela tena ilikuwa ada ya shule ili afanye kama mtaji wa kuanzisha biashara yake ya kuuza mashuka ya mitumba akasema atairudisha kabla hatujaanza...
23 Reactions
93 Replies
3K Views
Hellow Huwa kuna mda naumia sana nikiona mwanamke up now anategemea kuomba pesa kutoka kwa bwana wake au mtu yoyote kama upo hai tafuta pesa yako pesa ya kuomba inamasimango unakuta mwanamke up...
10 Reactions
49 Replies
672 Views
Hello Guys ‼️ Ipo hivi, mmekaa na mtu mnashare moja mbili tatu ghafla pua imemwasha anaanza kujisafisha pua Kwa mkono anamalizia alafu baada ya muda kidogo kwenye story limeingia jambo la...
3 Reactions
9 Replies
318 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…