Kuna kitu nimejifunza kwenye vitabu mbali mbali sasa nataka nihakikishe .... Kila nilichojitabilia kimetokea....gusa hiyo nyota hapo juu kwa mkono wa kulia kisha comment nitabilie....kisha...
Habari za Siku Ndugu zangu,
Naomba Kuwasiliana na Engineer yeyote Humu Ndani Hasa wa Civil ikiwezekana au Contractor Pia ni sawa!
Naomba Ani PM
Asanteni sana!
Kwanza pole kwa Da Muna kwa matatizo yaliyompata
Da Muna akiongea na wanandishi wa habari alisema kitu kwa wanawake ambacho tunatakiwa kuwa na tahadhari nacho..alisema wanawake tuwe makini...
Kuna anaemfahamu mume wa Dr Salama Kikwete? Kijana wa kichaga aliebadili dini ili afunge ndoa na mtoto wa aliekuwa raia number moja. Jamaa ni mpiga dili wa hatari, hataki ajulikane kabisa lakini...
1-Anyebadili jina Mitandaoni na kujiita majina ya watu Maarufu,huyo ni MJINGA.
2-Anaetoa Mimba kisha kulala na Midoli,huyo ni MIJNGA.
3-Anaedate na MUME wa mtu miaka nenda Rudi na kuwakataa...
Nime download app ya jamiiforums lakini sioni avatar za wanajf , kama kuna namna ya kuset ili niweze kuziona tafadhari naomba kujuzwa. Awali nilikua nikitumia jamiiforums ya kwenye free basic huko...
Pamoja na kuwa mmeumbwa kusahau, lakini wakati mwingine jitahidini kukumbuka.
Ni vitu vidogo sana ila vinatuumiza sana.
Hapa ni kwa ujumla, sio lazima uwe kwenye mahusiano, hata kaka, baba...
Wengi mnoo mmekuwa mkija pm na kusema mnaumia sana hamnijui nipoje wengine mpaka mnatishia kuhama kabisa JamiiForums kwa kuwa naficha sura yangu sasa IPO hivii:
Nimeamua kuweka picha yangu halisi...
Habari zenu ndugu wenyenchi?
Naam! Leo tena katika mada,
Ndugu wenyenchi safari ya mada ya Leo inaanzia hapa:
Mwaka 2010 nikiwa katika kazi ya ufundi wangu wa rangi kipindi hicho ndio nilikua...
Niweke wazi kuwa nilishtushwa na habari nilioisoma mapema leo kwenye gazeti fulani.Baada ya hapo nimeumizwa kichwa kutafakari juu ya hili wadau naomba mnisaidie.
Kama ulikuwa hujui
Kuna wanaume hapa wanamiliki madorali mpaka unashangaa nataman niwatag lakini naona PM zaoo zitastack kama simu za Tecno.
Sifa zao
Huwa hawacomment ila wanalike tu.
Ni...
Habari zenu wanajamvi
Nilifika hapa Dar mwaka jana kwa kazi maalum kwa muda kwenye kampuni yetu
Katika harakati zangu za kijamii nilikutana na dada mmoja ambaye ametokea kunipenda sana,na...