Duniani kuna watu wanachuki, wana wivu mpaka unayechukiwa unashangaa why? Kuna jamaa ananichukia kiasi kwamba hata nikisemwa kwa mabaya anapinga. Yaani kila kinachosemwa juu yangu anaonesha mi si...
wakuu kwema....
Naomba kuuliza tu... hawa wanawake kila siku mnasema maharage ya mbeya nyie mnawapataje!
tupeni mbinu wenzenu tumechoka kupigwa vya mbavu. au utongozaji unanipoza sijui...
Wakuu, tupeane mbinu aisee kama kichwa cha habari kinavosema.
Nilikua naenda kununua betri ya laptop, kwenye wallet nlikua na elfu 80/-. Nimefika shop na kupatanisha betri, ile nataka kutoa hela...
Mb 200 tangu najiunga mwezi umeisha haijapungua hata mb moja,nazitumia kwenye nokia yangu ya tochi,fanya ujinga uweke kwenye smartphone hata dakika haiishi zimekata,
kwa ujinga wako umesoma hadi...
At a wedding, I whispered to a person sitted next to me
*ME..* the bride is ugly!!
*PERSON..* if you dont mind, thats my daughter
*ME..* ooh am sorry I didn't know you are the father...
Watafiti wa afya ya uzazi Chuo Kikuu cha Milan Italia wamesema wanaume wanaokunywa chupa 1 ya bia au glasi 1 ya mvinyo kwa siku wana mbegu bora kuliko wasiokunywa na kuwa mbegu zao zina uwezo...
JF kila mtu msomi
JF kila akili nyingi
JF kila mtu usalama
JF kila mtu ana Nyumba
"" """" """" """ Gari
""""" """"" "" alichelew ndege
Ongeza na vingine.....
Hope you all mpo pouwaa.....
Kwakuwa leo ni furahi day na nimeamka na furaha ya ajabu unaweza kuniuliza swali lolote kuhusu mimi ili mumjue the real mambembe na mtofautishe na mawazo...
Jamani haya maisha nimepitia vituko vya kukata na shoka.
Mwenzenu kuna siku nililala na mwanaume alikula ugali na makange ya kuku yana pilipili akaongeza na pilipili ya kukata pembeni pilipili...
Sio siri tena ni dhahiri kuwa mwanamke hutumia sim au hushika sim mara nyingi kuliko mwanaume
Matumizi ya sim kwa mwanamke yamekuwa ya hali ya juu na imekuwa ni njia sasa ya kuwasilisha shida au...
Habari za majukumu leo nimeamka mapema sana kuja kuwapa angalau mawili matatu kwa ajili yenu,..
Mwanamke asiejikubali mwenyewe hata mimi wa kando siwezi kumkubali.
Wako wanawake wazuri ila na...
Kuna makabila yanapenda kukutania wewe tu,.. Ukijichanganya kuwatania wao wanakua na povu la karibu mno.
Siku ambazo niliwahi kutembea bongo kikazi na binafsi niliyagundua haya....
Wale wazee wa...
Kuna uzi huu
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1458539/
Usibonyeze link kama hauna access na JLW.
Nimelikuta hili swali kule mafichoni, lakini sijaona vyema kujibia kule kwa sababu...
Kwa muda mrefu sana huyu jamaa wa kuitwa GENTAMYCINE amekuwa akijinadi hapa JF kama a proudly Rwandese ( Rwandan ?) . Sioni tatizo lolote lile kwa mtu kujivunia asili yake...