JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jogoo anajuaje kama sasa hivi ni alfajiri au jioni imefika? Na kukisha pambazuka hawiki tena? Kwanini wasiwike muda wowote saa yoyote?
20 Reactions
83 Replies
2K Views
Unakuta mwanamme mzima anajiangalia kwenye simu ama kioo huku akitumia ulimi kuulamba lamba mdomo kama chizi! Janaume jingine unakuta lina setiseti nywele huku likipindua shingo kama jehu vile...
7 Reactions
29 Replies
546 Views
MACHI 13 MWAKA HUU, Jeshi la polisi lilimnasa kijana Rajabu Ismal (20) maalufu kwa jina la Anti Rama, mkazi wa Buyekele mjini Bukoba baada ya kukamatwa akiwa na vijana wawili usiku amevalia mavazi...
0 Reactions
87 Replies
38K Views
Mtu unajianzishia Uzi wako anakuja kucoment ilimradi akukere. Tag anyone you wish. Me naanza na Lucas Mwashambwa
19 Reactions
112 Replies
2K Views
Habari Katika mwili wa binaafamu Huwa Kuna viashiria vingi vinavyotokea kutokana na baadhi ya viungo kucheza....mfano wa viungo kucheza ni kama.. 1.Pua kucheza 2.kung'ata ulimi 3.ngozi juu ya...
3 Reactions
68 Replies
2K Views
Humu jf kuna mtu mada za Siasa yeye yumo, mpira yumo, Mahusiamo yumo, music yumo, vita yumo, dini yumo, magonjwa yumo tena anaweza akakupa kitu na ukadhani labda ana Phd ya udaktari, migogoro ya...
27 Reactions
64 Replies
1K Views
Habari za jumapili wana jf, naomba kuwauliza wenye magari yenu hivi mkiwa mnapita kwenye vituo mkakuta watu wamesimama huwa mnagueza shingo zenu kushangaa nini? mnahisi kuna watu mnawajua...
17 Reactions
63 Replies
864 Views
Mbona hivi? Jamaa aliyekatika kidole kwenye ajali anapiga kelele masaa kadhaa, aliyekatika shingo yuko kimyaaaa!! Mbona hivi? Mtu akikaa uchi bila kukusudia na huku akiwakodolea macho...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Embu tupia motivation moja vijana waifanyie kazi 😂
0 Reactions
2 Replies
178 Views
Cocacola walitoa tangazo lao mwezi wa December 1995, likiitwa CocaCola Caravan, nilikuwa nimemaliza darasa la saba. Aisee nilivyoliona nilichanganyikiwa, lina uubunifu wa kuanzisha hisia zako hata...
22 Reactions
54 Replies
3K Views
Mzee mwenzangu Mpaji Mungu umeuza kwenye Meme za Jamii Forums kule telegram channel ya Jamii forums. Nimeweka hii Meme tupate majibu. Ms R jibu hilo swali🤣🤣🤣🤣 Nina box la zawadi yako hapa au...
7 Reactions
37 Replies
532 Views
Sina uhakika ni aidha kichwa changu ndo kimekuwa sugu ama vipi.Hasa lile jibaba kubwa unalipiga lote na hulewi. Binafsi mimi kila siku najilipua nyagi kubwa ila nakunywa maji mengi sana lazima...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Kuna viumbe vinatujua kuliko tunavyojijua hahha if u have no friend here, chukua muda kutengeneza mmoja, Nakama wewe ni Me usitengeneze urafiki na Ke kwani mda wote wanahic kuwa unataka...
10 Reactions
472 Replies
10K Views
Habari wadau, naomba msaada kujua maeneo mazuri ya Moshi DC. kuna mwalimu idara msingi amehamishiwa huko anatamani kujua aanzie wapi
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Acha kupenda kitonga Mkuu....! HAKUNA KITU HAPA!
2 Reactions
17 Replies
323 Views
Mzuka wanajamvi! Asee watu wangu wa nguvu yani hili jina Makutopora limekaa kushoto sana. Yani hadi kulitamka tu unaona aibu. Na ndio hapo treni yetu ya Kisasa SRG ya umeme ina Kituo. Kumbuka...
7 Reactions
27 Replies
632 Views
Nilipokuwa na umri wa miaka 6, Mdogo wangu alikuwa na nusu ya umri wangu. Sasa hivi nina miaka 70, mdogo wangu ana umri gani? =====For English Audience===== When I was 6, My sister was half...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Cheupe wangu kiuno nyigu naishi kwake kama miezi 7 sasa alikuwa kasafiri Sasa kuna shangazi muuza dawa za kusafisha choo nililuka naye ana mauno tembo linajua kunyonya rungu la kipepe sio poa na...
17 Reactions
41 Replies
994 Views
Dongo letu wabongo,siongei sana nawawekea video mtizame wenyewe tunavyojadiliwa kuhusu ushiriki wetu wa Olympic pariii Ova
2 Reactions
3 Replies
256 Views
1. Leejay49 2. ephen_ Sababu....... Licha ya kuonekana ni Wanawake Warembo sana na wana Elimu Tukuka ila wanaonyesha hata kule pia Wanajua.
5 Reactions
24 Replies
546 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…