-umeolewa lakin wewe ndo unadunduliza ili familia ipate ugali,
-mda huo mme yupo kwenye kijiwe cha kahawa akibishana kati ya Mo na Mengi nani ana hela
-akirudi nyumbani anataka ugali, baada...
Happy birthday wakunyumba Mungu azidi kukubariki kila siku iitwayo leo unajua vile nakupenda umekubalika moyon hadi mwilini kibonge wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] never had a sister...
Kulikuwa na watu watatu kabila tofauti,msambaa mpare na mchaga.
Yule mpare akamkopa hela mchaga na msambaa akawekwa kama shahidi.
Siku ya kulipana yule mpare kwa ubahili wake akaona asilipe bora...
Jamaa akiwa kalala chini na juu ya dabodeka kalala mdada!
Ilipofika nait kali jamaa akaanza kujivuta mdogomdogo kupanda juu alivyofika akawa anampapasa huyo dada!
Dada:haaahh wee kaka vipi...
4 Reasons An Entrepreneur Should Hire A Life Coach - Business Times
Free App: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.siyarox.tanzanianewspapers
Wakuu habari zenu,
Kuanzia rais wa kwanza wa Tanzania hadi wa sasa katika majina yao iwe matatu au manne hakujawahi kukosekana jina linaloanzia na herufi M.
Mfano,
Mwalimu Julius Kambarage...
A woman was sure that her husband was cheating on her, and having an affair with the maid. So she laid down a trap. One evening she suddenly sent the maid home for the weekend and didn't tell the...
Kuna kibiashara changu nimefungua alhamdulilah.Ila ili kifanikiwe kinaitaji Bodaboda au kirikuu.hela ya kirikuu bado sijapata.so for the time being naona nianze na Bodaboda na nitaendesha...
Maombi yangu ya siku zote ilikua JF ilirudi kabla ya 5th July ili nisherehekee na family yangu ndogo ya JF. Nashukuru Max amefanikiwa kuirudisha kabla ya hiyo siku.
Wale wa zawadi naanza kupokea...
Serious mm sina mpango wa kuoa Kabsa..yaani chapa ilale mpka nafika jioni yangu freshi.
Ninaye mtoto wa Kiume ntamlea basi. Haya mambo ya kuoa yamepitwa na wakati kupeana stress tu.
Ebu...
Raha sana na kero pia mkiangalia na wife kombe la dunia. Haya ni baadhi ya maswali yao!
1. Mme wangu hivi Urusi ni Afrika?
2. Huyu mtangazaji mzungu mbona anaongea kiswahili kizuri Kama Mzee...
Kuna dada alikua na bf wake wakati wapo chuoni. Bf akamaliza kabla yake akapata kazi Njombe wakati huyo dada yuko chuo Mbeya. Kaka hakuwahi kumpa hata 500 ya vocha na anafanya kazi. Dada wa watu...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu
Rad ni silaha muhimu sana katika uloz yaan uchawi
Rad hutumiwa muhalifu, mwizi, taper yaan yeyote...
Ndio nilikuwa mgeni hata wiki sijamaliza toka tuhamie (Lusewa)Namtumbo, ilikuwa ni Jumatatu nimerudi toka shule nikiwa nimepumzika na braza hapo nyumbani.
Akaja msichana mmoja kakusanya vitoto...
Kwa wale wlio wahi kukesha au kuchelewa kulala tupeana mastory.
Kuna siku nilienda Moro aisee nikakutana school mate ile mastory na kuhama vijiwe nikajikuta saa 11 asubuhi hii hapa nililala...
umeoa au umeolewa?
bandugu, mnaonaje kujitahidi kuwa wa kweli kwa hili itasaidia sana endapo mtu akikufata Pm uko anajua kama ana deal mke wa mtu au mme wa mtu..
ukweli utakuweka huru...