Habari za kuamka wakuu.
Kuna vimaneno ambavyo vinaibuka mitaani ambavyo hata huwezi chanzo chake vimetokea wapi.
Hata hata hivyo, mimi nikikusikia unayatumia moja kwa moja nakuweka kwenye kwenye...
Je ukaaji wa chaji katika simu yako unakuridhisha?
Kama sio umegundua sababu?
Je wajua kuna app za kusaidia angalau 40% ya ziada ya betri??!
Maswali + ushauri.....
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Ngoja niende kwenye maada moja kwa moja
Wewe maadam jenifer unanimaliza sana kwakweli yaan unataka kunitoa roho aisee
Kwanza umeumbika ile mbaya hiyo...
Unakumbuka ipi hapa??
Je ni kauli Mbaya na si Kauli za Kweli?
1. Mkimaliza kuongea niambieni. niendelee kufundisha
2. Baba yako kauza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shule
3. Kama unajua...
Kwa wale wote Wasio amini dini kama Mimi watoe sababu humu...
Naanza na Mimi
"Dini zote zpo kimaslahi(Pesa)
Michango kila kukicha utanzani Vicoba...au Mojabet
Nawasilisha Maono yangu....
Tafadhali...
Umekuwa na mpenzi wako wa mtandaoni ambaye hamjawahi kuonana na akaomba umtumie picha. Ukamtumia picha mbili moja ya mwingine na nyingine yako.
Akimchagua na kuonekana kuvutiwa na ile isiyo yako...
Leo nimepanda toyo sasa kila saa na sema huu ubani unanukia wapi?kila saa kumbe ni dereca bodaboda kauwasha kaweka hapo mbele ilo bidii nimwambie simama nilicheka mpaka nikaishiwa nguvu hadi...
Inasemekana kwamba Kenya wamezindua ' Kifaa ' maalum ambacho kinaweza kumjua Mtu Muongo sekunde, dakika na saa yoyote ile na kwa jinsi Watanzania wenyewe wa ' Kada ' mbalimbali tunavyojijua ni '...
Baada ya kuimisi kwa muda mrefu kidogo jamiiforums na member waliomo humu nilihitaji nije na nyuzi nadhimu kabisa lakini kutokana na muda nitakuleteeni hapo kesho kunapo majaliwa yake mungu...
Habari zenu wana Jf
Nianze na mkasa ulionikuta jana..mida flani hivi nilienda kariakoo na Dada yangu..katika mizunguko yetu yeye alikua mbele mimi nyuma
Sasa si mwajua kariakoo ilivyo na watu...
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa
Nazan wote mko wazima wa afya njema
Siku ya tarehe7 may ndo siku ambayo nilizaliwa huko kanda ya ziwa mwanza
Lakin tarehe tano ilipita maana nilikuwa shule...
Assalam ndugu wa humu JF
Rejea kicha cha habari hapo juu
Nimeona bora tuhusishane kwa yale mazuri tuliyojifunza kuanzia asubuhi mpaka mda huu
Ili tuweze kuongeza na kubadilishana maarifa
Mimi...