Leo Katika Pitapita Zangu Nakutana Nikapita Sehemu Kichocholoni Nikasikia Demu Flani Anamwambia Kidume Flani ***hivi
Et, Niache Kumukubali Naniliii...... Bishooo! Nije Ku,kubali Wewe...
Hii nyimbo naipenda maneno yake miye na beats zake ikiimbwa yaani ntatikisika hata kidogo
Natulia kama nanyolewa naipenda sana!
Moyo wangu wapoaa ikipigwa yaani nalegea kabisaa!
1. Si wakweli hasa ikiwepo harufu ya pesa sehem, mwanamke yuko tiyari kumuita mwanaume wake kinyago, mjinga, mwanaume suruali kisa kaishiwa hela, wanaume wengi sana wamesaidia wanawake mpaka...
Kichwa cha habari chahusika
kwangu mimi
1. Mwanamke kuvaa wigi
2. kupenda wanawake wenye makalio makubwa
3. Kushabikia timu za ulaya mpaka watu wanauana wakati haitatokea hata kwa bahati mbaya...
Wale wote tusio na magari ya kutembelea hapa mjini na mikoani tukutane hapa!
Tuelezane changamoto na faida tuzipatazo tunapotumia public transport hususani daladala
Kwangu mimi kero ni kujazana...
Kama kichwa cha habari kinavyo sema, I bet zadi ya members 97% humu ndani awajaweka na awataki kuweka avatar halisi humu, tatizo ni nini wana JF, naombeni mitazamo yenu,
Moja kati ya michapio ambayo nimewahi kuisikia kutoka sehemu Mbalimbali huu ni Kiboko yao....
...Kuna jamaa angu mmoja alikuwa na njaa sana asa ikabidi tuende kununua Kibanda cha chipsi,Me...
Hivi naandika huu Uzi kuna Mtu mmoja sasa nimemsindikiza kumpeleka kupata huduma ya Kwanza baada ya kupata Kipigo cha Shalubela / Hatari kutoka kwa Mtu ambaye alimtania na lile neno ambalo huwa...
Wakuu,
Wengi tupo tunakua na mahangaiko ya kusaka pesa wakati huu wa mchana.
Mimi mida kama hii nakua nimetoka lunch, napata kahawa na kashata au chai ya asali na mdalasini huku nikitafunia na...
Long time no see U guys...
Husika na kichwa cha Uzi, inawezekana kuna mtu umempenda humu Jf lakini umeshindwa kumtoke kwa namna moja au nyingine, au labda kafunga PM yake.
Basi kwa kutumia uzi...
Ilikua jumapili nikamuona rafaeli amekaa ni juu ya nini, ni juu ya baiskeli, namuliza anaenda wapi, kanambia anaenda feli huko feli ni kwanani, ni kwa lile jitu tapeli,,asa utamuona wapi atakua...
Sitausahau mwaka 1967 Nina sababu tatu za kutousahau mwaka huo. Sababu ya kwanza ni kuwa kulitokea vita vya Kagera. Majeshi ya Iddi Amin aliyekuwa Rais wa Uganda yalivamia nchi yetu na kusababisha...
Wakati unasonga na miaka inakwenda, Hata katika Bible, Mhubiri anasema hivi:
" kuna wakati uliowekwa kwa kila mtu hapa duniani, hata kuna wakati wa kila jambo chini ya Mbingu"
"Kuna wakati wa...
Assalam ndugu
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu
Ni vitu gani vinavyokufanya umchukie mtu haraka sana
Mimi binafsi dharau na sifa za kijinga
nikishakujua unadharau na sifa za kijinga huwa...
Pesa njooni kwangu, mnifuate na mnitumikie.
Pesa njooni kwangu, njooni kwa wingi, tena mke Na wale wenzenu wa UK, USA Na Europe.
Njooni kwa wingi mifukoni mwangu, kwenye account zangu Na Kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.