JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Salam ndg zangu! Ni raha kuingia na simu chooni halafu ukaanza kuchart tena zaidi kama unachart na kamchepuko kaka fulani! WhatsApp ndo raha sana! Raha sana kuingia na simu chooni na kuchart...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Helllooow Kwa sisi tunaotumia usafiri wa umma tunakumbana na mengi. Ghafula bin vuu unakaa kwa seat Mara mrembo Naye huyo au unamkuta tayari yupo peke yake. Hapa ndipo wengi hupitilizwa vituo au...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Haeleweki, hasomeki, amepoa, akionekana anakuwa na sura ya kinyonge, hakurupuki tena, kiki zimemuishia na ana wasiwasi kama siyo hofu kubwa sana. Nawasilisha.
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Bibi na Babu walisafiri wakielekea kwa mtoto wao ambae hawajamuona zamani. Walipofika njiani wakawa wamechoka Sanaa. Wakaamua kutafuta hotel ili walale. Wakakubaliana walale kwa masaa 4...
4 Reactions
39 Replies
1K Views
Lyamungo Secondary School, early to mid 1980's. Karibuni jamani tukumbushane ya enzi hizo.
0 Reactions
6 Replies
880 Views
Acha nitiririke moja kwa moja. Ni hivi imetokea umeanzisha ukaribu na dem humu JF ukawa unajikomba komba lakini kwa bahati mbaya unaona kama vile hakuchangamkii. Kibaya zaidi mara paaa unaona dem...
22 Reactions
431 Replies
27K Views
Mshana Jr@mwifwa@hazard fc@demiss@mzigua09@mama sabrina@money penny@yna4@mumy na kadhalikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
8 Reactions
186 Replies
7K Views
Asalam Jf Kama heading inavyojieleza hapo Katika maisha yako yote tangu umezaliwa mpaka hapa ulipofikia Je ni kitu gani cha ushujaa umewahi kukifanya?? Mimi nilizuia rungu kwa mkono wangu...
1 Reactions
64 Replies
4K Views
Hivi ulishawai kutumwa na mshikaji wako kumtongozea demu/men alafu huyo demu/men akakwambia kama ni wewe yuko tayar lakin kama ni mshikaj wako haitowezekana. Hivi jibu zuri la kumpa huyo mshikaji...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
they score hattrik I shoot hot Kiki they speak https://jamii.app/JFUserGuide shit I giv them hot speech so djay nipe biti nifanye song hit pasionekane kuanzia juu ya goti mana risas zao zita shoot na hizo min skirt...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wakuu ni nani mmiliki wa dizzim media. na why wako karibu sana na wcb?
0 Reactions
15 Replies
11K Views
UFAFANUZI KUHUSU NENO WANAUME WA DAR. wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap, mfano we mwanaume :- 1. Unaishi Tabora ndani afu unamtext mwanaume mwenzako una mwita My, dear etc wewe pia...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Haya ni majina ya koo za kibantu ambayo kiasili ni majina ya kiume lakini kwa namna ya kipekee kabisa yamebadilika sura na sasa yanaonekana kama majina ya kike . 1. Uwoya. Chanzo Irene Uwoya...
4 Reactions
39 Replies
6K Views
Wana tambaza eeehhh. Salamu kwenu asee!!! Nimemaliza hapo juzi kati tu 2013. Kuna mengi yakusimulia ikiwa ni pamoja na manyanyaso tunayo yapata ya kutokuwa huru kuelezea ni kipi tufanyiwe au nini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MTEGO KWA WAHAMIAJI HARAMU UFARANSA Serikali ya Ufaransa imeandaa mtego maalum wa kukamata wahamiaji haramu kwa kuning'niza watoto wanasesere kwenye milingoti ya magorofa ili wahamaaji hao...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani wenye mademu wazungu,tupeane michongo,nipo DSM ila sina rasta
1 Reactions
46 Replies
8K Views
Mmoja wao kwa sasa ana album anazidi kung'aa tu Mwingine yeye anasuasua ktk video queen hajatoka kivileee Huyu mwingine yaaan daah ndo funga kazi,, yeye minenguo bongo move hadi video queen...
2 Reactions
58 Replies
2K Views
habari zenu wakuu, Kuna watu wapo humu wameshafika kenya au hata wapo huko mpaka sasa. naombeni mnijuze nauli ya kutoka Dar-es-salam kwenda kenya na gharama za guest house zipoje nawasilisha.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Amani iwe nanyi wapendwa! Wake kwa waume mlio jf,iwe MMU au jukwaa lingine lolote humu ndani wapenzi,wachumba na wake zao au mahusiano yoyote yanayopelekea hisia za ndani ya...
18 Reactions
1K Replies
31K Views
Wale wa laiser hill mpo ?? Mnamkumbuka mr otwane ? Omondi ? Spice na dolii ? Namtafuta sana amanda keprotich
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom