JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
  • Closed
Aisee. Ni raha sana kuwa ni mzaliwa katika kabila la kichaga. Hata kama ni wa upande gani Kwa mf. Mrombo,mmchame,mmarangu n.k. Ila nakuhakikishia ukizaliwa mchaga ni raha sana. Naomba niseme...
3 Reactions
65 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Enzi zile tunasoma kulikuwa na list ya wakali wa masomo darasani (kumi bora)ambayo ilikuwa official na pia kulikuwa na list ya wababe katika kupigana kuanzia wa...
6 Reactions
78 Replies
5K Views
Habari wana JF Najua hii ni moja kati ya sehemu ninazoshawishika kutumia sehemu ya muda wangu, bila kupoteza muda naomba muwachague miongoni mwa wa-Tanzania, dada, kaka na mama wa Taifa. Hizi ni...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Deleted member 485868
Yani siku ya leo kwangu ipo tu ovyoovyo..moja haikai mbili haikai tatu haisogei.. Uvivu sasa uwiii Nipo nipo tu kama fwala Vipi wenzangu mmeshawahi kupatwa na hali hii?? Na mliwezaje...
10 Reactions
377 Replies
12K Views
Wakuu,mnajua ubachela ni mzigo,..kuna baadh ya vyakula sili tena et,..na ikitokea nikavibabatiza mahal hua nachanganyikiwa kabsaaaaa Leo kuna kona moja hiv mitaa ya diamond jubilee jamaa yangu...
6 Reactions
97 Replies
10K Views
Mbwa aliambiwa: Utalinda nyumba za watu, utakuwa rafiki bora wa mwanadamu, utakula makombo atakayokuachia, na utapewa umri wa miaka 30. Mbwa akasema: Miaka 30 ni mingi, nataka miaka 15 tu...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
------------------------- 1. Kutia kalikiti nywele 2. Kujichubua 3. Kutinda nyusi/kujiangalia sana kwenye kioo. 4. Kutoboa pua/sikio. 5. Kupaka lip shine. 6. Kuvaa nguo za kuacha mapaja nje...
15 Reactions
100 Replies
10K Views
Uko wapi RRONDO rafiki yangu toka utotoni. Ingawa ulikulia Mwananyamala enzi zile nikitoka Kwamtogole kuja kwenu nilijiona niko usuani. Ubabe wa watoto wa Kwamtogole hukuuzoe lakini niliwaambia...
6 Reactions
70 Replies
3K Views
UFAFANUZI KUHUSU NENO WANAUME WA DAR. wanaume wa Dar ni tabia haijalishi unaishi wap, mfano we mwanaume :- 1. Unaishi Tabora ndani afu unamtext mwanaume mwenzako una mwita My, dear etc wewe pia...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Siku zote asikwambie mtu watu wenye mahusiano yanayojulikana huwa wanapitia wakati Mgumu sana. Kwa hapa jf msione couple hizi zinazojulikama wakigombana mpaka kufikia hatua ya kuachana huumia...
8 Reactions
120 Replies
6K Views
1. Mwanaume unajichubua una dressing table kabisa unajua macrem yote ya kina Mama * wewe ni jipu !* 2 .Mwanaume unachati na msela afu unamwita wangu /my *Tabia za kishoga hizi * 3. Mwanaume...
4 Reactions
37 Replies
2K Views
Kuna aina nyingi za vinywaji vya kulewesha wengi tumekua tukijiburudisha na vinywaji hivyo baada ya kutoka kazini au tukiwa tumepumzika nitachambua baadhi kwa uzoefu wangu. Aina ya kwanza ni...
5 Reactions
60 Replies
14K Views
Naomba Unitajie Watu Maarufu Unao Wafahamu Humu Jamiiforum. Kuna Watu Maarufu Sana Wanafahamika Humu JF Kwa Ku,comments% Post Za Watu Hemu Nitajie Mtu Hata Mmoja Unae mjua !!!
1 Reactions
227 Replies
11K Views
Kauli zenu zinatufanya tujione wanyonge,, [emoji117] "yaan hapa hakuna mzunguko" kabisa wa pesa [emoji117] "yaan hata weekend hakuna pa kwenda" [emoji117]" nimekuja mara moja kumcheki mother...
12 Reactions
393 Replies
12K Views
Rafiki yangu kamchukua bajaji anaemtakaga eti ampeleke Tabata Segerea kwa boyfriend bure. Nikamuuliza yani unataka kaka wa watu akupeleke sehemu ya elfu 20 bure kisa tu anakutaka akasema eeeh...
19 Reactions
81 Replies
6K Views
Weekend ndo imeanza hivyo. Mishee mishe mtaani zimenoga balaaa wale wapenda bata kama mm tunatafuta viwanja tukajirushe. Bila kusahau Jf nako kumechangamka kwa Threads mbali mbali huko PM ndo...
8 Reactions
529 Replies
16K Views
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimetumiwa na mtu hii link na nikacheka sana nlivyoangalia mpaka mwisho,....Daaah Big Up sana Coy Mzungu umetuletea kipaji kizuri mjini aisee! CC: Palantir , hearly , Humble African, Red Giant ...
5 Reactions
34 Replies
7K Views
Aaa, eee, iiii, ooo, uuuuuuu! Hiiiiizi ni herufi kuuu! Tamka kwa sauti kuuu! Hiiiiizi a, e, i, o, uuuuuuu! a, jogoo a, a, aaaaa! kama jicho e, e, e! mwenye mpira i, i, iiiiii o, ni pete o, o...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom