_*Nawasalimia [emoji68]MADEM [emoji70]wale mnao GOOGLE chakula na kupost mitandaoni ili muonekane ni wakishua kumbe wa MBAGALA,*_
_*Nawasalimia MADEM weupe [emoji70]mitandaoni ila mkiwa kwenu...
Dear Miss Natafuta,
It's been long that I've been on the queue waiting for your decision whether you will accept me to be your husband for the rest of life, am now out of the queue waiting for...
Habari Za Jioni Wana JF, Poleni Na Hongereni Kwa Majukumu.
Kama Ni Mfuatiliaji Wa Boxing Lazima utakua Unawajua hawa Wanamasumbwi Hodari, Deontay Wilder Na ( Handsome Boy) Anthony Joshua, Na Ndio...
Habari zenu wadau wa JF.?
Naam wadau kama nilivyo andika hapo juu. Napenda kujua hiv nyie wanajukwaa huwa mnatumia huu mtandao wa JF mkiwa maficho gani maana sijawahi kutana wala kuona ata...
Yaani enzi za utotoni mambo yalikuwa ni shida sijui ndiyo vyuma vilikaza au sijui nini?
1.Nyama ilikuwa bei rahisi tu lakini Kula mpaka Sikukuu tena mnapewa kipande kimoja tu na mchuzi wa...
To my hubby Asprin, I thank God for your life You are a special person in my life. It has been a long journey but where we are heading is much far ahead.
I love you for being you. Please don’t...
Yaani ndio kama hivi, maana hata sielewielewi.
Saa mbili kamili usiku:
Bibi yenu: We mzee msosi tayari, nikutengenezee kachumbari?
Mimi: Tena weka pilipili ya kutosha mama, nina apetaiti ya watu...
Habari wana jamvi, uzi huu ni maalum kwa wale wanzangu ambao walipitia wakati mgumu kwa jambo moja au lingine kisha kuona mwanga ili iwe kama chachu kwa wenzetu ambao wamekata tamaa ya maisha hali...
Hebu tazama uzuri wa sayari nzuri uionayo kichwani kwako, ifikirie taswira ya raha uipatayo huko na kisha rejesha mawazo yako katika muonekano halisi wa dunia uipendayo.
Ingekuwa chaguo la moyo...
Achana na yule aliyeniomba Vocha wakati niko hoi kitandani naumwa .
Niko na huyu bidada moyo wangu ameshaukamata.
Yna4 kwa nini nikufiche mama kila nionapo Coment yako kamoyo kanafanya pa...
Nimesoma habari moja imetokea nchini marekani mwanamke anayefanya kazi ya kuchunguza maiti amefikishwa mahakamani kwa kukutwa anafanya mapenzi na maiti.
Na katika kufanya kwake mapenzi na maiti...
Habarini wakuu, tarehe 24/05/199- nlizaliwa. Hivo Leo natimiza miaka kadhaa.
Namshukuru mwenyez Mungu kwa kunifikisha hapa, pia nawashukuru walezi wangu walio nifikisha hapa.
Wote tulio zaliwa...
Juzi nlienda kumsalimia Dada angu kwake basi baada ya kukaa kidogo akaja mwanae akaanza kunambia wee anko KISIMI, hee nkashituka nkamwambia unasemaje wewe akarudia tena KISIMI wee anko. Aisee...
Haonekani siku hizi huyu mr's Mshana jr tumemmisi kwakweli.
Ni wajibu wetu kukuuliza ili tujue Ndugu Mshana Jr umempeleka wapi Demiss wetu (chamdeko)
Tumemisi uwepo wake humu jukwaani .
Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.