JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ni aibu kubwa mwanaume wa 30+ una nguvu zako,huna ulemavu wowote,unautimamu wa ubongo, watoto wa shule wanaomba lift asubuhi unawasimamishia gari wanakuja mbio kupanda mara na limwanaume nalo...
11 Reactions
197 Replies
13K Views
Half time; Azam fc 4 vs prizoni 0
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Job Interview. MP OFFICER:- What is your name? Monday:- M.P. sir OFFICER:- In full please Monday:- Monday Paul OFFICER:- Your father's name? Monday:- M.P. sir OFFICER:- What does that mean...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna jamaa kapigwa swali na mwandishi baada ya mahojiano kama hivi: Mwandishi;unawashauri nini vijana wanaovuta oksijeni?? Jamaa;aseee nawashauri vijana waache kuvuta oksijeni kwani sio nzuri na...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Aisee huyu jamaa huwa anatupatia malisho mazuri sana kwenye motivational tips zake kupitia facebook page yake ila kwa muda sasa Facebook page yake haipatikani hewani "kunani"?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwa wale wakali wa fashion wasiopitwa na ingizo jipya mjini Huo mzgo ushafika fanya kuweka order yako mapema.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
docmaniac is an organization specialized in the acquisition of Ielts,toefl and gre certification. We can provide original certificate for those of you, who for one reason or the other are unable...
0 Reactions
0 Replies
488 Views
  • Closed
Huyu jamaa kapotea siku hizi. Nini kimemsibu? Kajitoa jf? Kapigwa ban? Au kabadili ID? #UsBaby!
2 Reactions
1K Replies
65K Views
Yani huwa nakereka kuongea na simu na mtu nisiyempenda unajua kwa sababu nimeshamweleza kila kitu lakini bado anazidi kuganda kama ruba huyu lazima nimfanyie unyamaaa unyamani tu. Unakuta...
17 Reactions
820 Replies
33K Views
Makobe wenzangu tukutane hapa,tupange wapi pa kwenda kudoea futari. Nalog off
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Comment Mwaka ulioanza na kumaliza shule ya msingi Tuone ni wangap wanaofaa kupewa shikamoo,mambo na habari yko me nimeanza 2004 kuhitmu 2009 N.B Heshima ni kwa wotee
1 Reactions
56 Replies
3K Views
Habari za saa hizi wapendwa? Natumaini hamjambo na ni wazima kabisa kama mimi nilivyo mzima. Waungwana kuna jambo ningependa kufafanuliwa kwanini wanawake wa humu wanapenda kufunga PM zao? Maana...
9 Reactions
1K Replies
40K Views
Hii picha itakuwa imepigwa kwa simu aina ya Tecno. Nyingi ukipiga selfie picha inatoka kiarabu. Au utafikiri kioo. TeamTecno povu ruksa.
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Unaandika nyuzi halaf inakosa wachangiaji mnajisikiaje na mtu mwingine akiandika kidogo watu wamejaa kupost na uzi unatembea haswa ukitazama watu zaidi ya laki au zaidi washaufungua huo uzi...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Mimi ni mtumiaji wa vodacom kwa kipindi kirefu sana Ila nilikua napenda,sana ofa wanazotoa,hasa ile ya kwako tu!! Mwanzo walianza vizuri sana Tsh2000=GB5 Tsh1000=GB2 Tsh500=mb600 Kwa wiki Wakaja...
0 Reactions
51 Replies
3K Views
ha ha ha
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Wasalaam, Naomba kuuliza ni wapi kuna migahawa inayohudumia Chakula cha kichina jijini Dar es salaam. Yaani Chakula cha kichina kiwe kweli kile cha Wachina haswaa, yaani kiwe kimepikwa kwa mapishi...
2 Reactions
81 Replies
6K Views
The heading above is concerned. Najua ktk interactions zetu humu jf, kuna comments ambazo ulishawah kukutana nazo na zikakuchekesha na kukufurahisha sana.. Em tiririka na sisi tupate furaha...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Wanaume huwa mnaamini mwanamke mwenye muonekano fulani hawezi kuwa na wewe. Kwa mfano mwenye kazi nzuri kukuzidi au mwenye mvuto unaohisi wewe humfai. Mnachokosea ni kwamba mwanamke akikupenda...
50 Reactions
1K Replies
42K Views
Back
Top Bottom