A thread by Billy
Nimewai lala ndani siku mbili juu ya kupatikana na mtoto wa polisi. THREAD. Kuna time nilikuwa attacho hapo Kabete kwa Cyber flani, ilikuwa ile msimu ya ku type business plans na...
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikisikia kauli kama hii ikitolewa na watu mbali mbali hasa unapohoji ww kwanini unafanya hivi utasikia " ndio fashion sikuhizi "
Kauli hii imetumika kuhalalisha...
Nilivyojiunga JF nilijua ni sehemu nitasoma niburudike na nijifunze. Sikua najua hata members huwa wanaonana nje ya hapa. Kumbe watu huwa wanaonana huko nje halafu yakiwabumia wanarudi kutuelezea...
Kulikuwa na UHIMA(CASFETA),UKWATA na TYCS wakati tukisoma.Sisi wengine tulio katikati,wakati mwingine tulienda UKWATA sbb ya kuimba Mapambio na nyimbo za kusifu.Kukesha ktk sala na usiku wa...
Umemkopesha rafiki yako wa karibu Tshs 400,000 mwaka jana, lakini tokea wakati huo amekuwa mgumu kulipa deni hilo, kitu kilichochangia kudorora kwa urafiki wenu. Unamuomba akulipe basi walau Tshs...
Kwanza jaman Niliwamiss sana Demiss miye mama ntilieee miyeeee .
Kabla ya yote shukrani kwa member hawa Mwifwa Zero IQ Samweli faraj mmepambana sana kunirudisha jf mungu awabariki sana japo najua...
Habarii wadaw...
Inawahusu wanaume..
Kama msichana atakutupa kwa sababu huna pesa, na baadaye unapopata pesa akarudi tena kuomba msamaha,,, ndugu yangu msamehe, mpe ahadi ya ndoa, mwambie...
Utajua ana uvumilivu kiasi gani.
Utajua kama ni pesa zilimvuta kwako au mapenzi ya kweli.
Utajua mapenzi yanapungua, yanaongezeka ama kama siku zote.
Utajua ...
Nilishajiridhisha siku nyingi kuwa hapa JF ni kisima cha faraja na pia kuna maudhi madogo madogo. Nina tatizo na jirani yangu kiasi kwamba nimekosa ufumbuzi hadi nimefikia maamuzi ya kuwaomba...
*Maisha sio poa kabisa Jamaa yangu amemaliza kuandika kitabu kuhusu mbinu za kupata pesa. Sasa anatafuta pesa kwa ajili ya kuchapisha kitabu hicho.*
*Ameniomba pesa nimemwambia asome kitabu...
Mwanzoni kabisa nafungua akaunti hapa jf niliwahi kuona signature ya member fulani hivi lakini mpaka leo sikumkariri sasa kama kuna member humu anamfahamu anitajie jina lakge
''ukiokota bunduki...
Utakuta mwanamke unajitutumua kwa nguvu zote ili aonekane ni wa ghali au wa garama wakati wanaume hata hawajui tofauti kati ya Brazilian hair na manyoa ya kondoo...
Habari za mida hii wana chit chat.....
Bila kupoteza muda mida hii nimeshtuka kutoka ndotoni ila najilaumu sana kwa ndoto tamu kukatika mapema hivi!
YALIYOJIRI NDOTONI.
Wakuu leo nimeota wadada...
Ukiamua Kuwa na Mahusiano na Mume wa Mtu Lazima Ukubali Kuwa Mtumwa wa Mambo Yafuatayo:
1. Baby samahani dakika moja,wife anapiga simu
2. Baby muda umeenda Sana mke wangu atanipigia, wacha...
Nilikua nawaza tu Hivi hii JF forum hatuwezi kuichange iwe saccos,then tununue magari yetu mazuri, mabus na boda boda zituletee faida,.
hiyo faida tununue meli nyingi za kusafirisha mafuta na...
Hakika yangu wote buheri wa afya
Nianze kwa kusema inzi akiicha ujinga anaweza kutengenzea asali tamu kuliko nyuki.jf kwangu ni freezone pamoja na kujifunza kwa wengine sijui wanaichukuliaje...
Basi enzi hizo tuko chuo kuna rafiki zangu walikuja kutoka Marekani wakanialika lunch na marafiki zangu apartment kwao.
Tukaenda na rafiki zangu watatu jumla tukawa wanne.
Kufika wakatuchomea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.