Hadithi za mademu wa kibongo....
saa...12:00 nakuja 13:20 ndio naoga,
15:50 navaa nguo 17:40 ndio natoka,
18:30 nipo kwenye bajaji
19:20 babe sitakuja Mama ameniambia niwapikie wageni...
Salam kwenu wana chit-chat.
Siku hizi kuna tabia ambayo mimi kama mwanaume mtafutaji siifurahii.
Wanawake hawatupigi mizinga kama zamani.
Wengi tulishazoea haipiti week baby naomba hela ya kodi...
Nipo pande za Ukonga huku napata sharbat basi kuna wahudumu kama wawili hivi wanapita kuwahudumia wateja hapa nilipo nimekoma kinoma kwa hawa wahudumu wawili.
Alafu wote vijana wa kiume, hila...
Habari zenu wa JF
Leo naomba tujadili namna Mama zetu wanavyolea watoto wetu
Hivi ni sahihi Bibi kumtetea mjukuu pale unapomuadhibu hata kama amekosa?
Wewe kama mzazi wachukuliaje suala la...
Ni hoja nyepesi sana kuijibia kwanini ulikohoa ulipopishana na mwanamke.
Wala haihitaji uwepo wa Peter Kibatala au Tundu Lissu(Kaka wa taifa) wala Fatuma Karume kuijibia kesi hiyo.
Hii ni kesi...
wadau baada ya lile onyo la kipigo cha mbwa koko, leo lingine limetolewa onyo
kwa wale wanaume ambao hupata ugonjwa wa kikohozi pale wanapoona mwanamke aliyejaaliwa chura akikatiza mbele yao.
Je...
Asante mungu kwa kunijalia siku nyingine naomba ulinzi wako kutwa nzima ya leo uniepushe na aina zozote za kishetani,unipe nguvu na afya njema,katika jina lako takatifu
AMINA.
Dear Juma Mwamnofu.
Hofu na mashaka ni kwako uliye mbali na upeo wa macho yangu. Sisi sote tu wazima wa afya.
Dhumuni la kukuandikia barua hii ni kukujulisha mambo machache.
Siku hizi vitu vya...
*Hivi mmegundua kwamba Sasa hivi kila YANGA wakifungwa basi kuna mtu maarufu anatoka gerezani... walifungwa na Mbao Babu seya na mwanaye wakatoka gerezani, wakapigwa na prisons Sugu akaachiwa...
Hii niliangalia Interview take na CMG pale alipoulizwa je unampango wa kuongeza mke ? Pale mtu aliyekomaa ni rahisi tunadanganya wazazi ushindwe kudanganya media,alitakiwa kuruka futi mia...
Jamani nimechukuliwa video nacheza kwangaruu wallah nacheza kama zari wakati namchekaaga zari kumbe hata mi sijui kucheza jamani nimesikitaka sanaaaa,japo namzidi lakin tunafanana kucheza...
Wale wote tusiokubali kuchunwachunwa au kupigwa mizinga na wanawake tukutane hapa kwa lengo la kujadili mbinu mpya na kufanyia maboresho mbinu tuzitumiazo za kujikinga dhidi ya kupigwa mizinga...
Tujikumbushe vituko ambavyo tulivifanya kipindi tunasoma sekondari 1990s.
Kuwakaribisha form one kwa kipigo mabwenini,ilikuwa lazima form aliyekuwa akijiunga na secondary za bweni lazima alipata...
Habari wana jf wote.
Katika kuhakikisha Tz inakuwa nchi ya uchumi wa viwanda niliamua kufanya tafiti zangu humu jf tangu mwaka 2008 hadi 2018.
Katika tafiti zangu ilikuwa ni kubaini watu wenye...
Habar,
Ikiwa tayar Dad keshafanya yake
Mimi nasema hivi....
Karibu sana LULU karibu sana kitaa Ila mambo yamebadilika sanaa mdogo angu Kama....
1: Dodoma Imekuwa jiji.
2: Alikiba sasa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.