*nacheka sana naposkia wanaume wanalalamika kua wanawake hawawasikilizi hivi kama mwanamke alishindwa kumskiliza mung aliyemuumba na akala tunda lililokatazwa ww kumpa kifurushi cha jero tu ndo...
Patrick Mwasomola
WIMBO:
SIKUKUU YA WAKULIMA:
(SAFARI YA MBEYA)
BENDI ORCHESTRA MARQUIZ
MTINDO TELEMUKA CHEKECHAAA:
WAIMBAJI:
BWANA MKUBWA KING KIKI NA WENZAKE:
KWENYE MAGITAA:
YUPO NGUZA VICKING...
Niaje man,
hope ulifika salama na ishu zako,
naona kimya and am very curious kukufahamu hapa JF.
check me PM as you promised me, i think we can make a setern bond.
thanks
Yupo Kabadili jina? Au wasiojulikana wamesepa nae, maana kuna wakati alianza kuwa maarufu mpaka kwenye magazeti ukiachilia humu JF
Nimeuliza tu maana ni mjamaa mwwnzetu
Niaje friends?
Kuna wadada nawafahamu kwa miezi kadhaa kuwa ni marafiki, lakini majuzi wamezinguana na kutoana ngeu mpaka mmoja kumtimua nyumbani kwake kisa, "DUSHE".
Inasemekana hawa girls ni...
Kuna watu huwa wanaudhi kweli wanakera mfano mpo watatu mnaenda sehemu mkifika sehemu mnaagiza mmoja wenu anajifanya kama hali hivi haagizi ,cha ajabu kikiletwa chakula chenu anasema ngoja nionje...
Factopedia special
hello bosess
Tupe fact zako kwenye jambo lolote kuhusu kitu chochote ilimradi tu iwe ni
- fact
-After the fact
-Factoid
-Reality
-Evidence
-Brute fact
-Factoid
E.g...
WASICHANA WAKICHAT
MDADA1; Mambo kipenzi, nimekumiss dear
MDADA2; poa lov, nimekumiss pia
Niliiona pc ulopost fb its so cute
MDADA1; Asante dear namii nimeona umempost upo na...
Habarini wakuu,
Jamani mimi si mjuzi sana wa mambo ya politiki na naomba mwenye kujua anisaidie juu ya vazi hili linalovaliwa na wakuu wa huu mhimili muhimu.
Huwa naona baada ya session moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.