Habari wakuu,,,
Msistuke kusikia Magufuli [emoji16][emoji16]ni jina la kijana wa mtaani kabisa..
Aiseeh kuna wakaka wawili maeneo ya supa Masaki,wote ni watu wa kanda ya kaskazini..huyo...
Nauliza "Wale WANAMAZINGAOMBWE" waliokua wanageuza MAKARATASI kuwa HELA tukiwa PRIMARY SCHOOL wapo Wapi? Huu ndio Muda Sahihi sasa nina RIM PAPER Kama 3 ivi .
Wakuu huyu mtu ni mda mrefu sana amepotea hapa jamvini, nnamashaka wasiojulikana wasije kua tayari wamefanya yao.
Story za Gala kwa kiwango kikubwa zilikua zinanisaidia kupunguza stress...
Leo ni kumbukizi ya siku niliyozaliwa miaka kadhaa iliyopita siku kama ya leo nilizaliwa ... Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia kuishi miaka yote hiyo .. Nawashukuru wazazi wangu kwa kunilea...
Namshukuru Mungu leo tar 9/5 nimetimiza miaka 33 kamili wengi wamepotea kabla hawajafika huku na walikua na ndoto nyingi,wote ambao tumefika huku tukiwa na afya njema tuungane kumshukuru Mungu...
Hii tabia ya watu wakipanda ndege wanajifanya wao ni wao, wanabadili lugha na kuongea kiingereza na kujifanya ni wataalamu wa ndege kwa kuelezea ndege inavyoruka, inavyokimbia na cha kumchukua za...
Ndugu wanajamvi, leo ni siku yangu ya kuzaliwa! ni siku ya kipekee kabisa kwani ni tarehe 25 June,siku ya jumatatu jioni Mama WA-UKENYENGE ndipo alipoweza kunitambulisha hapa duniani. Ahsanteni...
Nawaza tu kwa sauti.
Habari za mida hii wadau. Poleni na hongereni kwa majukumu mbalimbali kukabiliana na hali.
Nimewaza tu uwepo wa gbJf app inayokupa uwezo mbalimbali kulinganisha na jf app ya...
Sijui ni kwenye Thread zangu tu au na Zenu pia?
Yaani hata Thread iwe Nzuri na Inatrend Vizuri kuna baadhi ya Members yaani wakichangia tu hapohapo na Uzi una Buma.
Yaani Uzi unakosa...
Natiririka na hii Mada kidogo
Unakuta midume kabisa unapiga picture na kuanza kuiediti na kuweka madoido. huu ni ushamba au ulimbukeni mnatafuta uziri au? mingine unakuta inatumia kabisa switie...
Nimepita kwenye social network moja nikakuta tangazo la muhaya akitafuta mpenzi..Anasema " Naitwa Mulokozi Batakyanga...Nipo Kamachumu likizo lakini huwa naishi na kufanya kazi zangu jijini...
Hellow bosess!
Dha.. siku nikifikisa staff 1000+ na zaidi nitahisi furaha na amani sana napenda sana watu wengi tufanikiwe na tukamilishe mipango yetu. moja kati ya malengo yangu ni kuwa na staff...
UNAJUA YA KWAMBA….
1.Kitu kizuri kupita vyote ni: UPENDO
2.Kitu rahisi sana kuliko vyote ni: KUDANGANYIKA
3.Zawadi kubwa kuliko zote ni: KUSAMEHE
4.Ajali kubwa kuliko zote ni: KUKATA TAMAA
5.Kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.