JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ni mbaya zaidi kwa mwanaume kufikia atua hii me jamani Kuna mwanamke nampenda ila nashidwa kumwambia hii inatokana na mimi kuto tongoza kwa muda mrefu. Nawashauri wanaume tuwe tunafanya mazoezi ya...
9 Reactions
79 Replies
8K Views
Moja katika wachangiaji wakuu na waleta Uzi au mada zenye changa moto na kuibua mambo mbalimbali katika jamii yetu. Watu wengi sana humu walikua wakijiuliza huyu MTU ameenda wapi au ameacha...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Nimefungua Page Yangu Kule Facebook Sasa Nilikuwa Naitaji Kuweka 5 Rating, Sasa Sikuweza Kuweka. Sasa Nauliza Hiv Mpaka Niwe Na Like Ngapi Ndio Naweza Kuweka? Mpaka Sasa hivi Nimefikisha Likes...
0 Reactions
2 Replies
667 Views
1.Padri na kutubu dhambi kwa RC mtanielewa vyema 2.Mwanasheria ambaye atakuteta ukiwa na kosa la jinai na lazima umwambie ukweli 3.Daktari ambaye atakutibu ugonjwa pengine ni wa zinaa na...
0 Reactions
1 Replies
689 Views
Wakuu wa 90's hali ikoje huko kwako? Hivi muda bado au ndo tumechelewa?[emoji23][emoji23] Mana Jiwe anazidi kaza nati, kuna kuoa/ kuolewa kweli awahi hii?[emoji20][emoji20][emoji20][emoji20] Au...
11 Reactions
202 Replies
9K Views
Wasalaam kwenu, Uzi huu ni maalumu kwenu wote wapenda vya juu sana. Usiwe mrefu sana wala mfupi sanaa, uwe na kimo cha katikati. Mke wa kuoa asiwe mbaya sana wala mzuri sana yaani awe mzuri wa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Ta= t'''ko bi= bidhaa a= adimu Ndo maana wanaume wote tuki kutana na mwanamke yoyote alie nalo lazima ageuze shingo kulitazama..... Aiseeeee mwanamke sio sura mwanamke tabiaa...
1 Reactions
11 Replies
762 Views
Napaswa kuwapenda wote sana.
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Hello peoples. Leo ni tarehe 7/5..... Ebhana siku kama ya leo miaka mingi iliopita nilizaliwa kijana mpole mimi kipenzi cha wengi[emoji1]... Nachukua nafasi hii kumshukuru sana mama angu kwa...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Baada ya kushindwa kwa mpango wake mkubwa wa kupanga na kuratibu maandamano yasiyokoma ili kuuondoa utawala wa Rais Magufulu madarakani hapo 26 April sasa mwanadada maarufu katika mitandao...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Hawa ni wana JF wa siku nyingi ambao kimsingi walikuwa wanalichangamsha jukwaa na ni WATANI WANGU kiitikadi tulikuwa tumejenga utani wa kudumu sasa hawapo na KITENGO CHA PROPAGANDA MTANDAONI CHA...
4 Reactions
52 Replies
3K Views
Habari zenu wana jamvi! Uzi huu nimeuweka maalum kwaajili ya kujuzana kuhusu hotel mbalimbali kwa jiji la dar zenye huduma nzuri na bei nafuu kuanzia elf 30 had laki 1 kwa huduma ya kulala...
0 Reactions
73 Replies
8K Views
*EXAM QUESTIONS* 1. Black is a colour and White is also a colour, but Black and White television is not a Colour TV. Discuss. 2. If soap and water makes the body clean, then what...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Sigara kubwa nayo ni balaa cheki hii
1 Reactions
8 Replies
3K Views
1;Gereza la kunyongea watu[Isanga] lifungwe mara moja. 2;Makao makuu ya chama na serikali yahamishiwe Dar-es Salaam[maana maruhani yatakuwa na gheto kabisa pale] 3;Jengo la bunge...
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Barça vs Madrid nani bingwa?
0 Reactions
1 Replies
363 Views
Sijawai kuona mihogo au kisamvu kikiungwa na nyanya... Tangu nizaliwe hivi sasa najonea viroja kwa huyu demu wangu mpya juzi kanilisha majani ya kunde chukuchuku yalioungwa na kitunguu na chmvi...
5 Reactions
166 Replies
7K Views
Jana nilienda cinema kuangalia avengers jamani hata lile shetani lijambazi sugu halijakufa picha ikaisha,halaf watu wengine wakaanza kuyeyuka ,King of wakanda akayeyuka kidogo nilie,wengi...
0 Reactions
1 Replies
589 Views
Wenzangu kale ka mchezo nakaona mtu anafungwa kwenye kiti na kamba zinakuwa ndefu halaf anarushwa toka juu kwenda chini na chini ni mbalii hivi wana moyo gani wa kuvumilia ,maana nahisi naweza...
5 Reactions
81 Replies
4K Views
Back
Top Bottom