JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
inahitaji IQ kubwa kuelewa hii picha lakini, wengi hawatakiona hicho kichekesho.
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Huyu baba hapa amelala anatoa ndoto zote ila akilini kwake anajua tunaondoka wote. Tatizo ana ushamba mie sinao maana amezoea wanawake wanaokaa nao wanakuja kuwadanga. Sasa mtu mwenyewe hata hela...
17 Reactions
185 Replies
8K Views
Hivi ni kweli kuna dawa za kuongeza makalio? Au ni dhihaka tu kwa wadada? Leo tumalize huu upuuzi, kama kuna dawa ya kuongeza makalio iwekeni hapa tujue. Lengo ni kujua kama ninaweza kui apply...
8 Reactions
91 Replies
15K Views
Ni aibu sana kwa mwanaume mwenye umri kwanzia miaka 25+ kuishi kwa mashemeji,wazazi au wapenzi wenu kwa kisingizio cha kumaliza chuo eti bado huna kazi Hivi huoni hata aibu mtoto wa kiume...
3 Reactions
100 Replies
6K Views
Hii mvua imeleta balaa, usafiri hamna watu wamezagaa barabarani na miamvuli kwa kweli hata kutoa lift ni ngumu maana utamchukua yupi utamuacha yupi? Leo ndio baba mwenye gari anatembea kifua mbele
31 Reactions
300 Replies
14K Views
1 ) Kumbe unaweza kushinda njaa bila kufa(Lunch za kufuru zimepigwa BAN) 2 )Kumbe unaweza kubeba chakula(kiporo) na kwenda nacho kazini. 3 )Bila bodaboda au bajaji kumbe unaweza kutembea na...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Hii ni thread maalum kwa akina dada kujua tabia za wanaume wanaotumia mitandao ifuatayo. VODACOM ~Wanaume wa mkoa huu ndio mtandao wao mkuu. Yaani hapa huwaambii kitu kabisa ~Wanaume wengi...
6 Reactions
45 Replies
6K Views
2 Reactions
17 Replies
10K Views
Nikauli iliyosikika nje ya chumba changu now nimefunguliya mziki paka mwisho sitaki ujinga na kifo[emoji102][emoji102]
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tuwapende sana ikibidi tuwaombe ushauri sana wa kimaisha,, tusikae sana mbele yao,, tuwashirikishe sana ktk mipango yetu,, tusiwadharau kabisa,
3 Reactions
83 Replies
4K Views
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mpaka mwaka 2025 Kuna mambo mawili yatafanya watanzania wengi wawe na ugonjwa wa MOYO. 1. Kubet 2.Utawala wa jpm Ova!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mdada wa mjini Akichat na Boyfriend wake: 'Baby: kama huwezi kuja kunichukua nakuja na taxi utalipa,kama hutaki basi,mi siwezi kupanda Daladala Iam a DIVA'' ''Okay Baby,gari haina mafuta na sina...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Nakumbuka niliagizwa mzazi na mkuu wa shule baada ya kufanya kosa fulani, nikatafakali nikaona kama nikimpeleka babangu tukifika tu lazima yeye ndo atakua wa kwanza kunipiga mana baba yangu kwa...
10 Reactions
74 Replies
6K Views
Rejea Kichwa cha Habari kisha tiririka na serereka zako tu tafadhali. Sipandi tena ' Daladala ' za Kimara - Bonyokwa na nimekoma! Nawasilisha.
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu habari za huko uliko. Kuna hili suala linanipa utata kidogo. Naamini wengi tuna wapenzi au wenza wa maisha. Na wengine ambao wapo solo waliwahi kuwa kwenye mahusiano wakati fulani. Katika...
1 Reactions
48 Replies
7K Views
Kwako Mwifwa Wewe rafiki yangu wa ukweli kwenye shida na raha Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa baraka tele na upendo mwingi. Nakuombea uianze siku yako vema Ukiwa umejaa furaha tele . Unajua...
18 Reactions
923 Replies
92K Views
Halaaaa Mama Sabrina nimewamiss wanachit chat mjue nini mapenzi tu nakuwa busy na baby sanaa mpaka anapasahau huku ,basi basi toka nimpate G nalala vizurii nimekuwa mwingi wa furaha sana na...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Back
Top Bottom