JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Baada ya shambulio la jana lililopelekea mtandao pendwa kuwa down kwa masaa kadhaa na ukawa haupatikani kabisa uliwamiss member gani humu? Ulimiss topic gani humu? Ulimiss comments za member gani...
17 Reactions
798 Replies
27K Views
Wale tuliosomea kijijini, hasa shule ya msingi, uliwahi kuweka punje ya kahawa au Ndorani ili kuuwa soo la Ticha? Utundu nilianza darasa la Tatu (Kampan za wakubwa mbaya sana. Sasa bhana tukiwa...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
1 Reactions
1 Replies
934 Views
1. Kutema mate ulipokojoa mara baada ya kukojoa. 2. Kujaza upepo mashavuni ili usionekane ulipojificha. 3. Kushika mapu... ili msifungwe (mpirani) 4. Kuchomeka jani kwenye nywele ili mwalimu...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Kama kichwa cha ujumbe kinavyojieleza, bajeti yangu ni 80000. Ndio maana nimespecify. Unaeza ntext DM. Uzi huu ni valid hadi tar 3/6/2018
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naanza na huyu Umoja/Wingi Mjusi/mijusi
0 Reactions
83 Replies
7K Views
Jamaa kwa kuchoshwa na tabia ya mkewe iliyobadilika ghafla akaamua kumpleka kwa Padre ili amuelezee nini tatizo mambo yakawa hivi: Padre: Mumeo analalamika umebadilika sana siku hizi nini tatizo...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Alichokisema mtoto baada ya kusikia baba na mama wakiongea mambo yao usiku MUME: Mke wangu naomba nikubusu MKE: Sitaki MUME: Ntakununulia pete ya gold MKE: Staki MUME: Ntakununulia gari MKE...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
wana Jamii forum ambao tuko nje ya nchi yetu pendwa tukutane hapa tujadili yeyote ya kwetu Tanzania pendwa / kila mtu anakaribishwa / hata ambao wako nyumbani wanaweza changia kuhusu wana diaspora...
3 Reactions
46 Replies
3K Views
Hakika tumeanguka sana tumeshindwa kuandamana yaan hii nchi hakuna wanaume kabisa sijui ,yajayo yanahudhunisha kabisa,kuna mikoa tulitegemea lazima kinuke kama Mwanza,Dar,Arusha,Mbeya,Musoma...
15 Reactions
100 Replies
5K Views
Salute, Kwa waislamu kama mtu kaunganisha nywele ama ni ndefu sana, ni lazima ziondolewe ndo mtu azikwe. Hichi kitu je kwa wakristo kikoje?
2 Reactions
36 Replies
2K Views
Mimi nilienda UK kusoma in 1991 nilifanya undergraduate kisha nikaendelea na MA huko huko. nimeishi kikazi nchi mbali mbali kama vile UAE, Singapore, South AfricaAustralia, Israel na bila kusahau...
9 Reactions
33 Replies
3K Views
Having you in my life is a more than a dream come true: Happy Birthday, Sweetheart!
8 Reactions
271 Replies
10K Views
Nawaona kule kwenye jukwaa la siasa wanavyojipa Stress bila sababu ya msingi kila member kule leo anakuja na thread Yenye heading Maandamano. [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakati ule amri ilitolewa na mfalme wa jiji kuwaita wote waliotelekezwa pamoja na watoto wao. Hata walipofika ndani ya praitorio akainuka Bashite akawaambia, amani iwe kwenu enyi wakina mama kwa...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Wanajamii foruma nawasalikuu sana poleni sana na mahangaikoo ya siku nzimaa Niwasimuliee mkasaa kidogoo nimehamishwa kikazi mkoa mmoja humu katikati ya nchiii nimemuacha mama watoto huko mkoanii...
0 Reactions
38 Replies
2K Views
Hivi ushawahi kumuota member yeyote wa jf??????????!!!!!!!! Kama sijasahau nadhani Kuna member simkumbuki ninani alitoa uzi ukiuliza hilo binafsi sikuutilia maanani kiviile na leo ndo...
4 Reactions
155 Replies
6K Views
Kwa waislam, ni lazima mtu akifa na nywele za kuunganisha awe mwanamke ama mwanamme ni lazima ziondolewe. Hata kama ni ndefu lazima zipunguzwe tu. Vipi kwa wakristo, kwa wale wanaojua watupe elimu
0 Reactions
15 Replies
880 Views
Back
Top Bottom