JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nawaza sana na natamani kufahamu kwanini wake za watu wanacheate??tena ukizingatia unakuta mwanaume wake anapambana kwa ajili ya mkewe ili ampatie anachokitaka ila kuuutwa kutembea na watoto...
0 Reactions
61 Replies
10K Views
Wakuu, Leo nimepigwa na butwaa kuona mwanaume anamuita mwanaume mwenzie 'P'. Jamani kumwita mtu kwa herufi ya kwanza ya jina lake ni kama kujibebisha fulani. Mwanaume unafungua kinywa kabisa...
12 Reactions
122 Replies
7K Views
Wakuu. Ninaelekea kuoa mwanamke wa kingoni. Naombeni sifa ili maisha yasonge vizuri.
0 Reactions
48 Replies
46K Views
FURAHI ONGEZA SIKU ZA KUISHI Bakari ni house boy mara nyingi huiba wine ya boss wake na kisha kuongeza maji kwenye chupa ili boss asigundue. Mara kadhaa boss alihisi ladha tofauti anapokunywa...
1 Reactions
2 Replies
759 Views
TUNGA SENTENSI KWA KUTUMIA MANENO YAFUATAYO: 1. SHIMO 2. TUNDU. 3. PANGO. 4.TOBO
0 Reactions
7 Replies
822 Views
  • Poll Poll
Je ufikiri/unadhani nani anaongoza ulimwengu/dunia yetu 1.mungu? 2.Wanadamu? 3.Mtu mwingine? ELEZA SABABU ZA KUAMINI HUYU UNAYEDHANI ANAYEONGOZA ULIMWENGU
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tangu Jf iondoke hewani jana na kurudi Leo... Watu tumepoteana kabisa... Wengine tuliacha ahadi zetu hewani hewani... Wengine waliacha miTongozo yao hewani hewani... Wengine ndio walikuwa kwenye...
2 Reactions
26 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu? Kama heading inavyojieleza huu hapa ni uzi special kwajiri ya kumtakia pasaka njema member yeyote umpendaye Njoo hapa umtaje na umtakie pasaka njema yeyote bila kuogopa...
11 Reactions
1K Replies
49K Views
Haya ndo maswali muhimu yatakayoulizwa,
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mliniambia mko katika marekebisho na mterejea hewani kabla ya saa 12 Naona mambo ni moto sasa
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Leo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo katika harakati za kujiandikisha vitambuisho vya utaifa Agent wao akakosea kuandika tarehe yangu ya kuzaliwa badala ya 15/01 yeye kaandika 15/10 ile ananiambia nikague info zangu ndo nikaona...
0 Reactions
8 Replies
461 Views
Kila siku tunalalamika tu kwamba Tanzania haina Wakimbiaji wazuri wa Marathon ili waweze kutuwakilisha vyema katika mashindano mbalimbali huko Ulaya na hata hapa Afrika hivyo basi nina uhakika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo nimeingia Supermarket pale Kibo Complex Tegeta,..Basi nikachukua Mkate Mkubwa na Maji, ..Ajabu tangu nachagua bidhaa kwenye Shelf kuna Mzee mmoja alikuwa ananifuata nyuma nyuma mpaka...
3 Reactions
10 Replies
782 Views
Ivi wanashida gan hawa watu ,unamgonga unakuta analia kilugha Yooooohh Mayoooooo Mwaki........ Segitooooo Na ndoloooo juu...tena kwa sauti utafikir zima moto au Msiba! Afu bikra wala marinda hapo...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Yaani nikiiona hii Picha,inanichanganya sana kiasi cha kushindwa kuvaa vest au kutembea kifua wazikwenda hata dukani kwa Mpemba hapo. Maana kwa mwili huu wa huyo mpachika mabao...
0 Reactions
1 Replies
537 Views
Kwa wanaume wote, uwe na mke au demu kama umuonyeshi kumpenda, kumjali, kumpa time yako, kumsifia na hata kuwapenda kuwaheshimu ndg zake hesabu maumivu.....lazima tu vidume watakuchapia. Hawa...
4 Reactions
53 Replies
3K Views
SHILINGI TRILIN 1.5 ZA KITANZANIA 1. Kama una kasi ya kuhesabu shilingi milioni moja kwa dakika moja. Maana yake Shilingi trilioni 1.5 utazihesabu kwa dakika 1,500,000, sawa na masaa 25,000, sawa...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Back
Top Bottom