salam.
Nimekaa hapa kitandani mida hii huku nikiwa na peruzi peruzi kidgo humu ndani.....mara ghafla nashangaa taa inazma yenyewe na umeme upo.
nikainuka taratibu mpaka kwenye switch...
Yani mzee mzima nakumbuka niling'oa mtoto mmoja wa uswaz mwenzangu kwa ajili ya hii kitu.
Sasa kuna siku nilifunga goli 20 peke yangu yani.....huku vipaji vingi sana vimepotea huku...yote ni kwa...
hii Kenyan news active Kenyans ni few sana but wana lamisha lolo watz ambao ni majority.
Hivi ndio kina mulisa,kadoda,geza ulole,ichoboy,annael,mkikuyu etc....wana LAMBA LOLO .
Nakumbuka nilikuwa nikirusha picha ya Ulimwengu watu wanatamani kufa wanatoa povu jamani kama mtu haumfikii kwa physical appearance si unanyamaza tu mbona hata sisi kina Agness wametuzid maumbo na...
Gafla mchupi wa Nandy huu hapa ujatulia vizuri mara Diamond huku nywele original kule wigi hujakaa vizuri unasikia trilioni 1.5 gafla Kiba katuletea chombe kutoka Mombasa hujatulia unamsikia mzee...
Wadau
Naona ili kusapoti muziki wetu basi tuwekeane hapa lyrics/mashairi/beti/maneno ya nyimbo mbalimbali maarufu za kiswahili za sasa na za zamani.Na kwa wale wasanii wa miziki walioko JF kama...
Atakuja nyoka kila baada ya kipindi cha swala. kama husali anakudonoa na machungu yake inauma zaidi ya miaka
Kaburi litakubana kama hutakuwa mtu mwema
KWA WAUMINI WA KIKIRISTO NA WASIO NA...
..Hiyo Internet ya Ofisini unavyoikomoa, umefungua blogs zote kwa mpigo, YouTube, Skype, Twitter, Facebook na Unadownload Videos! Wakati boss wako siku nzima amefungua emails tu.
Basi ndio hivyo...
Ngoja kwanza nishushe darasa, ili dhamira yetu ieleweke vema zaidi.
'No offence' kwa wanawake wetu wa kibongo. Hakika ni warembo sana kimwili na kitabia.
Lakini kwa mustakabali wa kimaendeleo...
Ifuatayo ni idadi ya wana JamiiForums wenye English nzuri na karibia wote hakuna hata mmoja ambaye ni made in Lumumba.
1.Rutashubanyuma
2.Kiranga
3.Nyani ngabu
4.My Son drink water
5.Mshana Jr...
Wakiwa wanaandika kwa mbwembwe na kupangilia maneno mzuri,au kutukana au kujigamba na kujitanua vyema,huku wameweka avatar nzuri na za kuvutia ,basi utafikiria unakutana na docta ulimwenguafe...
Amini usiamini hii hela kuna watu wameibetia,wakiamini kuwa ndani ya mwaka mmoja wangeweza kurudisha hiyo hela na kupata faida
Chezea mhindi,hiyo hela imeisha ingia mfukoni kwake,sasa wanasiasa...
Aman iwe nanyi wapendwa
Kuna mshikaji mmoja alienda kusoma chuo kikuu mda akiwa chuo kikuu mimi nilikuwa mdogo sana hivyo nilibaki namuona kama binadam mwenye akili sana maana nilikuwa sijui...
Kama ni wa chuo taja jina na chuo alichosom.
Kama ni sec tuone ni shule gani mtoto huyo alisoma.
Viongozi wote kuanzia
Rais,
mawazili,
wabunge na
MKUU WA MAJESHI(CDF)
Majibu ndio yatasaidia...
Mambo,
mi ni ke,ukweli wenyewe ni huu KWA MPENZ AU MCHUMBA AU MKE/MUME umpendaye kwa dhati kiharufu fulan cha mwili wake ni kizuri balaa.Hata kama atatoa nguo special zifuliwe hutochoka kuziweka...
Uliwahi kujiuliza kwa nini ATM machine hutoa kadi kwanza halafu pesa huja baada ya kadi?
Walotengeneza ATM wanajua hulka za binadamu! Kwamba binadamu akipata anachotaka anasepaaaa.... hakumbuki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.