JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuuu nijulisheni viwanja vya kula bata Niko Dar nimeingia jioni hiii nahitaji kulifaham hili jiji Lakini nitajiwe viwanja vyenye watoto wa Kari toka mikoa Ya Singida, songea, iringa, Moro...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wakuu wenzangu.. Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Mi binafsi sioni faida wala ufahari kisa nimependwa na mdada kutoka kwenye mtandao huu. Ishu ni kwamba hawa viumbe waliomo...
13 Reactions
479 Replies
15K Views
Haiwezekani mr Zero Iq hadi leo hana ata mdada mmoja huko Past Meridian (PM) wa kumliwaza ata kwa maneno matamu. Wapi ; Jolie Jolie. demiss Mama sabrina Miss Natafuta. Ata nyinyi mmeshindwa...
5 Reactions
242 Replies
8K Views
Babu mmoja aling’ng’ania kwenda mjini kwenye harusi ya mjukuu wake, pamoja na hali yake ya kiafya kuwa mbaya lakini alitaka hivyo. Alihudhuria na siku ya harusi baada ya sherehe alimuomba mjukuu...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
In South African Parliament; *Hon Madisha:* Half of people in this parliament ARE stupid!!! *Speaker:* Hon.Madisha withdraw that statement. *Hon Madisha:* I withdraw that statement. Half of...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Hivi ni kwa nini watu wengi hujigusa kwenye vyombo vyao na kisha kunusa kuna mshikaji mmoja nimesoma nae ulkua ni mchezo wake mpaka parade syo hyo tu mpaka mademu nshawaona sana sijui huwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamvi. Mara nyingi hua naona picha za wadada ambao hujiita models mara nyingi picha zao ni chafu sana za utupu kabisa na wengi wao siku hizi wameiga tabia hyo cjui wameitoa wapi...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
habari wakuu, sema humu ndani jf kuna raha sana..mimi napendelea kupitia machapisho ya watu na kusoma na kufurahia, sinaga hata cha kuandika maskini:(:(.. hv mnatoaga wapi mambo ya kuchapisha...
17 Reactions
121 Replies
6K Views
[emoji135] [emoji135] [emoji135] [emoji135] [emoji135] [emoji135] [emoji135] [emoji135] [emoji135] [emoji135] [emoji135]
0 Reactions
0 Replies
785 Views
Yoyote anayefahamu gharama znazoweza kucost medical examination Na any vaccine kwa ajili ya visa ya nchi za UAE NI kiasi gan?
0 Reactions
0 Replies
727 Views
Mtumishi : Hello Binti Bwana asifiwe Binti: Amen mtumishi Mtumishi : mrembo, samahani, una mpenzi? Binti: Hapana. Sina mpenzi. Mtumishi: nakupenda Binti tuishe wote Kama mke na mume , Kitabu...
6 Reactions
10 Replies
4K Views
1.Gentamycine 2.Mshana Jr 3.Gudume
4 Reactions
73 Replies
4K Views
Wandugu nayapenda sana majina yanayoanzia na j.hebu tupia la kike na lakiume.asanteni
1 Reactions
138 Replies
165K Views
Leo nimetulia nimeona tufanye get together itakayo waunganisha waliosingle wote party itakuwa tarehe 22/4/2017 na umri kuanzia miaka 25 kwenda juu tukutane tufahamiane na tuwe na chama chetu cha...
5 Reactions
144 Replies
6K Views
Mfano huyu mpho ana vyote hips na tako la haja Mwingine ni masogange ana tako la haja lakini hips zake sio kuubwa sana Mwingine ni huyu mdada anaitwa linda ana hips za haja lakini tako ni...
2 Reactions
64 Replies
23K Views
Kuna wataalamu huko marekani waliamua kufanya utafiti wa "Madhara ya Lipstick kwa wanawake" Amini usiamini asilimia 90 ya madhara ya lipstick yalikutwa kwa wanaume
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Baada ya kuridhishwa na utendaji mzuri wa Jiwe sasa mahakama hizo zimeomba zihamie kwenye nchi tukufu ili zishirikiane na CAG . Achana na miaka 25 na 12 hapa itakuwa 115 Segerea
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo nikiwa katika mishe mishe zangu nimekutana na ujumbe huu katika daladala. "CHIPSI HAZINA UKOKO" Vp hilo jambo lina ukweli?
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi Mzee Baba anapata muda wa kupitia hizi comments katika mitandao.?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom