JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
yani ile umefulia siku huna kitu mfukoni alafu Una changanya akili una amua kwenda kwa mango akukope unga. unafika dukani unajizungusha Mara mangi hii shingp, Mara mbona bei juu mwisho wa...
1 Reactions
66 Replies
4K Views
Naanza na huyu Warren Baffet "Kama hutoweza kutengeneza PESA ukiwa umelala basi maisha yako yote hadi kufa utafanya kazi"
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimewahi kuisikia hii na pia kuishuhudia kwa kiasi fulani (Though sio kiasi cha ku conclude findings zangu) Kwa mfano; Magreth/Mage/Meg - Hawa wengi huwa wanene na weupe kiasi ila huwa wanakuwa...
2 Reactions
68 Replies
25K Views
Je kuna ukweri wowote
1 Reactions
4 Replies
2K Views
I wanna know, I wanna know your name, your name, your name Why you gotta be anonymous? I gotta know, I gotta know your name, your name, your name Why you gotta be anonymous? Baby, I want you so...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Tangu ripoti ya CAG imetoka hatuja muona mtukufu barabarani akiwa na mkasi wake wa kuzindua. Hata vile viwanda vya saloon vya Lusinde hakuna kilichomalizika tupate kuona uso wa mzee?
12 Reactions
49 Replies
2K Views
Tarehe kama ya Leo 1972, katika viunga vya kisiwandui mzalendo na rais Wa kwanza Wa Zanzibar karume alipokonywa uhai wake na wapinga mapinduzi Karume alizaliwa 1905 huko mwera,wazazi wake mzee...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
1. _*Mwanaume unaandika*_ *_text/unajibu "k, pw, thx" au unaandika "jomooni, jamoni"_* *_Happy women's day to you!_* 2. _Mwanaume unapiga selfie umeng'ata lips!_ _Happy women's day to you!_ 3...
6 Reactions
62 Replies
5K Views
Jamani wana Jamvini mimi nipo mkoani hili neno usinishushe ununio silielewi Narejea wimbo wa Becka hapo ununio najua ni Dar-es-salaam kuna nini au ni msemo tu nauliza yasije nikuta siku nikija Dar.
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Wazee wasio na walio H kunani , point ndio hizi hapa
2 Reactions
17 Replies
7K Views
Kufungua ID hata sijamaliza wiki tayari nimekuwa JF-Expert Member. Ahsante JF, hahahahaha raha sana. Nadhani wiki ijayo nitakuwa Platinum member kama akina Nyani Ngabu. salamu nyingi kwako...
14 Reactions
215 Replies
9K Views
Nimetuma uzi hawapa nikaeleza dukuduku langu narudi uzi ule siuoni je nn kinafichwa basi wacha tusifie tu chit chat ni jukwaa zuri sana watu wake ni wakarimu sana na wamejaaliwa vipaji vya...
2 Reactions
2 Replies
450 Views
habari. Naomba mwenye namba ya simu ya Mshereheshaji Bi Chau anipatie, kuna kitchen party tunataka awe MC. MBITIYAZA, Shunie Miss Natafuta na wengineo naomba please.
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Shunie , Tantaw, Mulhat Mpunga, kaka Jiwedogo, myoyambendi Joseverest Ngushi Mwifwa Miss Natafuta, Castr Mgibeon bila kumsahau wikili msomi Petro E. Mselewa Muwe na sikukuu njema
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Ilikuwa tar 16-4-.... ndipo nilipo iona hii Dunia nashukuru sana MUNGU wangu kwa kuniwezesha kuiona siku kama ya leo ni natimiza miaka kadhaa na ahsante mama yangu kwa kunileta Dunia ni. Na pia...
5 Reactions
24 Replies
9K Views
Ujumbe huu umfikie yoyote yule aliye macho hadi hivi sasa na yuko online akitiririka na kuserereka. Na ' Uzi ' huu kamwe haumuhusu mletaji wake kwani nimeamka tu mara moja niende Msalani...
4 Reactions
52 Replies
2K Views
Only, those with high IQ will be able to answer this question correctly! The question is; Can you name a color without the letter E?
2 Reactions
54 Replies
3K Views
Nimezaliwa tarehe 17,4, Siku ya j4 saa mbili usiku ndo siku niliyoanza kuliona jua, asante MUNGU Nachukua fursa hii kumshukuru muumba wa mbingu na nchi kwa kunijalia afya njema mpaka siku ya leo...
4 Reactions
4 Replies
573 Views
Habari zenu jamani, Leo ni siku yetu jamani, nilikutana na huyu kaka kama masihara vile akaniuliza kama hii tarehe ndo niliyozaliwa mm nikamwambia ndio kaka, duh kumbe naye alizaliwa siku kama...
15 Reactions
49 Replies
2K Views
Back
Top Bottom