JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mange kimambi wewe utabaki bila mume hata kama selikar ya kidunia itatulazimisha tuoe wanawake kumi kumi Iv kweli kuna mwanaume jasir wa kwenda kumuoa mange kimambi? Yaan ukiwa umelala unatakiwa...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Mzuqa wanajamvi! Nikiwa njiani narudi Ghetto baada ya kumsabai besti wangu flani kijiji jirani nateremka kwenye mteremko wa mamenooo nikakutana na Mzee Abdala anaelekea kwake. Nikamsalimu mzee...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nawasalimia wanaJF chit-chat Mara ya mwisho nimeonekana humu mwishon mwa 2016 niliwamiss na nimerejea tena japo Mara chache nlikuwa nachungulia bila kuandika wala moment chochote.. Nafurah majina...
1 Reactions
11 Replies
596 Views
Hello wana chamvi, tangu nijiunge na mtandao the huu wa Jf nimekuwa nikifatilia baadhi ya thread za watu na hawa ndo nilitaman kuonana nao live (mubashara) 1.Demiss 2.Mzigua 3.Bujibuji...
7 Reactions
537 Replies
14K Views
Heshima kwenu wakuu. Nimempigia simu jana Mzee mmoja huko kijijini. Ni muda tulikuwa hatujawasiliana tangu January yani pale mwaka mpya. Mimi: Mzee shikamoo Mzee: Marahaba, hujambo mwanangu...
2 Reactions
9 Replies
744 Views
kutokana na kuwa watu wa dar wamekuwa wakijiona wao ndo wao kwenye kila kitu na kuona sisi wa mikoani ni washamba nimeona bora nasi tuanzishe Forum yetu tuwe tunapeana Maujuzi mbalimbali na habari...
13 Reactions
62 Replies
4K Views
Kwenye nyimbo ya mahabuba wewe na aslay uliimba maneno matamu sana kama ''Wacha wapaki marange nimependa bodabodo" "Chai kwa andazi wala sinagashida" "Uniletee boga ninapomiss baga" Sahivi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wadau wakati najikumbusha kitabu flan cha shule ya msingi miaka yetu si tunasoma enzi za Mr na Mrs Daudi( nadhan kwa sasa watakuwa wamezeeka sana nasikia baraka yule mtoto wao mdogo ameoa miaka 5...
7 Reactions
91 Replies
5K Views
Habari za jioni? WABONGO WANAGAWANA MAJUKUMU KATIKA JIJI LA DARES-SALAAM KAZI KWELI IPO DAR bwana "Wizi" MBAGALA "umbea" MWANANYAMALA "mapenzi" KIGAMBON "vibaka" KARIAKOO "majivuno" MASAKI...
0 Reactions
4 Replies
623 Views
Katika maisha kuna mambo mengi yanachosha na kushangaza pia.yanaleta ukakasi. _Mtu kakuamini anakueleza tatizo lake,kama hujui jinsi ya kumsaidia/kumshauri mwambie ukweli tu,usianze kumweleleza...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Kama umezaliwa cku ya leo pita kwenye huu uzi ujinyakulie best wishes kibao. Mambo yakiwa mazuri zaidi cake [emoji512] zitatumwa hko uliko Karbu.
1 Reactions
0 Replies
387 Views
Hakuna kitu kinachoniudhi kama hhawa paka wanakuja kulilia dirishani kwangu usiku wa manane afu inaliaga kama mitoto. Niliwahi kutoka usiku wa manane na boksa tu kuwatimua walikuwa wanagombania...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
mfano. Nyani Ngabu. Hapo unaweza kumwita wee Nyani. Nataka tuone wale wenye id ya majina mawili na kuendele wakiitwa kwa jina moja inakuaje. [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]...
1 Reactions
211 Replies
9K Views
Waheshimiwa habari zenu. Hapo zamani za kale..2013 nil ikuwa member wa jf. Nilifanyaga ujinga wa kipumbavu eti natafuta mke na wakati nilikuwa nimeoa. Pm nilikuwa natongoza kila mtu. Ebwana eeh...
8 Reactions
98 Replies
5K Views
Kwa miaka mingi humu nilikuwa naongoza kwa kuwa na mabandiko mengi kushinda wengine. Nadhani hadi kufikia mwaka jana, kwa kipindi fulani, nilikuwa naongoza. Lakini kwa sasa hilo taji sinalo...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi? Napenda tujuzane mara ya kwanza kubet ilikuwaje na ulijiskiaje baada ya game upizobetia kumalizika? Binasfi mara ya kwanza kubet nilikuwa nakula bia mahala uku nacheki mechi...
4 Reactions
52 Replies
8K Views
Ts been a long week! 0kwa0p ndio mwanzo wa weekend so ladies mu behave wenzenu jaman.. Na boys msi take advantage kwa wanawake.. u never know who will scratch ur back.. Nakumbuka nyimbo moja ya...
0 Reactions
3 Replies
557 Views
Habari zenu wakuu Leo ningependa kila mtu aweke tukio lake alilowahi kuliona kwenye mabasi ya mikoani. Nikianza na mim mwenyew, Mwezi wa 1 nlkua natoka Dar naenda Moro ndani ya Alsaedy bus full...
5 Reactions
176 Replies
19K Views
Nilipokuwa darasa la nne Mwalimu wetu mmoja wa Hesabu hapo zamani alitupa quiz ya kuhesabu na kujumlisha toka 1 hadi 100 na tumpe jibu. Kipindi kilikwisha pasipo jibu. Siku iliyofuata alitupa...
0 Reactions
5 Replies
763 Views
*UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda. Wakati bado upo uvunguni ka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom