JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
With Mr. T[emoji117][emoji117] Wanaume wa Dar mkiitwa kwa RC Makonda kuhusu kutelekeza watoto, tumia hizo points [emoji116][emoji116][emoji116] [emoji21][emoji21] utashinda tu kesi.. Land...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nahitaj kublock account yang coz kunamtu anatumia kupost upuuzi please kwa anaye jua
1 Reactions
6 Replies
597 Views
Wadau sote tunajua kuwa Mzee wa Kolomije anatangazia Umma wa WanaDaaslam kufika Ofisin kwake kutoa taarifa ya Wanaume waliotelekeza Watoto. Tujiandae Kisaikolojia ikiwezekana hata kuyamaliza kabla...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wako hewani sasa kwenye power breakfast![emoji2] [emoji2] [emoji2]
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza , huu ni Uzi wetu maalum kabisa mapacha ( Twin's) tusambaziane upendo. Lengo lingine ni kukukumbushana visa na matukio yaliyotukumba na yanayotukumba katika...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
30 Reactions
661 Replies
30K Views
Mambozzz . Ivi ulishawahi kumchukia members yeyote wa jf. Kutokana na mijadala,mabishano yanayoendelea humu.mimi binafsi sijawahi mchukia members yoyote humu jf. Hata anikashifu vipi. Ila.
17 Reactions
699 Replies
53K Views
Nimekuwa nikisoma post za Lara1 muda sasa. Nimegundua anauwezo mkubwa wa kupambanua mambo ingawa stori zake nyingi ni za mapenzi. Kibongo bongo anafaa kuwa Ophrah Winfrey.
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Uzi huu ni maalumu kabisa kwa wale wenye msongo wa mawazo ambao njia zao za kuutoa ni kwa matusi au lugha yoyote ya kejeli. Pitia sasa haya mambo matano upate kutoa stress a.k.a povu a.k.a...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Habari zenyuuu! Naomba mbongo yoyte anayeishi Iraq anipim au anitumie mawasiliano yke. Kuna vitu flan flani ivi nataka nimuulize. Akhsanten, inshaalah
1 Reactions
9 Replies
745 Views
Daaah aisee mimi nampenda sana huyu mwanamke Scarlett Johansson Ni muigizaji wa filamu kama vile Avengers 1&2 Avengers_Age of ultron. Lucy etc. Nakapenda sana haka kabibie hasa ile sauti yake ya...
9 Reactions
286 Replies
22K Views
Aisee nimeona sehemu moja celebrity kaiba maada iliyokua posted huku na mwana jf machachari Demiss cha mdeko na kuipost kwenye page yake as if ni yake bila ku acknowledge source.Hii si sawa kabisa...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Jumapili na iwe njema kwenu wakuu. Unakuta mdada/mmama amekaa na shoga zake anawatambia kuwa mpenzi/mumewe ni mpole na hana mchepuko hata kidogo.........thubutuuu........ si ajabu hao anaowaambia...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Ifikie mahali tuheshiane jamani nimevumilia nimeshindwa nasema hivi mi kwa maoni yangu, na sijaribu kumponda mtu yoyote, baada ya kutafakari sana, na kupima uzito wa pande zote, ninachodhani, na...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
vizuri ukaoa mwanamke mzuri mzuri ili asiwe anaambiwa aoshe masufuria pindi mnapokutana familia, wake wa wenzio wanaambiwa wachambue mchele na maharage wakwako anaambiwa akapasue kuni, awashe moto...
5 Reactions
73 Replies
3K Views
poleni ndugu zangu mnao angaika na joto Kali uko kwenu.mana nyie ikinyesha mvua,shida jua ndo baraha kabisa.yaan ninyi amjulikani kipindi gani kwenu mnafurahia.ikinyesha mvua mafuriko,MNA lala juu...
1 Reactions
11 Replies
890 Views
Unakuta mdada mzuri kabisa anasema yeye haitaji mwanaume Wa jf ila pm yake iko wazi 24\7 Yaani wewe dada umeniudhi sana!
10 Reactions
215 Replies
18K Views
Back
Top Bottom