Wakuu,
Km heading inavyojieleza. Ndo umepata chance ya kumfananisha member wa jf na mnyama unaempenda au usiyempenda.. Utamfananisha nani? Na kwanini?
Kwa upande wangu, mimi namfananisha Hajar...
Jamani kwa wale wote wanaohitaji mikopo kipindi hiki cha Ramadhan hadi Eidd na wako serious please Inbox me ili tuonane na tuone namna ya kukupatia. Binafsi nina mikopo kibao haina kazi...
KABLA YA KUPATA UNACHOKITAKA PENDA KWANZA ULICHONACHO
Huko zamani nilihitaji sana muda ufike ii nitoke sasa kwa wazazi ii niishi peke yangu ambapo nitakuwa na mkee na ntaanzisha familia yangu...
Wanasema dont take life too seriously, u will never get out of it alive..
Live healthy life, focus on positive things, life will always be simple if u dont complicate.
Happy birthday to me...
Yes Naaam kama wewe umesoma Html na Css computer language njoo tuunde company tupige hela
HTML na Css ni nini?
Html na Css kwaujumla ni Computer language ambazo zinahusika na ku,desgn web...
Habari wakuu...
Nieende moja kwa moja , kama kichwa kinavyosema hapo.Leo nimepita hapa Mikumi. Katika kushangaa shangaa nikakumbuka bwana mmoja wa JF. Huyu bwana @K4life na story zake nyingi za...
Eti wapenzi wenu huwa wanaweka nini...Nimeshawahi kukutana na couple moja eti mwanaume kabeba kimkoba na mwanamke kabeba pia....!! U Gentlemen unaanza kupotea sasa hapa nani atambebea mwenzie...
Kama heading inavyojieleza ukija tu Pale Miembeni (PM) kama wewe Ni Ke chap unapata buku la vocha.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]...
Nipo Tanga maeneo ya Lushoto kwa Wasambaa huku!
nasikia mwezi huu(may) katikati itaingia Ramadhan, karibu kila nyumba kuna mwali watu ni mwendo wa kula ubwabwa
kuna nini kati ya Ramadhan na kuoa?
Habari za leo wakuu,
Jana nilikuwa nasafiri kutoka dodoma kuja dar, nilikuwa nimepata lifti kwa rafiki yangu na tulikuwa wawili tu, njiani tumbo likaanza kunisokota, nilijitahidi kuvumilia...
Mi nilikuwa naonaga baadhi ya wanawake hawana matak☆nikadhani ni wanawake tuu ndo walivyoumbwa kumbe hata wanaume wapo yaani nimejikuta naangalia hadi nikasababisha foleni nyuma maana nilikuwa na...
Ni mida ya hatari sana! Saa 8 za usiku unapita
Maeneo furani unakutana na genge la paka kama hao kwenye picha... Alafu kuko kimya njiani uko wewe peke yako na hao nyau, alafu kufumba na kufumbua...
Happy mothers day kwa wamama na wanawake wote ulimwenguni!!
Dear my Sweet Mother from heaven, najua sikupata nafasi ya kukushukuru kwa kunileta duniani (ulinitoka nikiwa mdogo sana) lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.