JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kupenda mtu asiyekupenda ni matumizi mabaya ya moyo tena ufujaji. Eti namzimikia utajikuta makaburini, acha bangi wee teja Nyambafuuuuuuuuuu
0 Reactions
4 Replies
806 Views
Wana JF kama ushawahi kuhisi seat yako ya moto kaa na mtu amevimbewa na mbaya zaidi anabeua harufu mbaya kama vile tumboni kumetokea muozo wa siku nne utakoma kuwepo pale na ukitaka kujua...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mkeo anavaa cheni, nawe wavaa cheni! Mkeo anavaa bangili nawe wavaa bangili! Mkeo anavaa hereni, nawe wavaa hereni! Mkeo anasuka nywele, nawe wasuka nywele! Mnatudhalilisha. Vv
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari wanajamvi najua wenye kufuturi teyari mmeshafutuli,na wengine mmepumzika wengine mnajifanyia shughuli mbali mbali. Tuende moja kwa moja katika mada kama inavyojieleza; Naanza na Mimi...
0 Reactions
67 Replies
5K Views
Yani unakuta limwanaume linanunua keki kabisa, linanunua vikofia vile vya watoto[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti maandalizi ya birthday yake, wanaume wameisha tanzania. Kusheherekea ni...
20 Reactions
83 Replies
6K Views
Habari wakuu, Nahisi pia wengi wenu mtakua mmekumbana na hii kero. Unakuta mtu hamjawasiliana kitambo,hata kukujulia hali ni ishu wakati wewe unajitahidi kila unapokua na dakika za kutosha...
5 Reactions
65 Replies
4K Views
Wanaume Tunapokojoa mkojo,Mkojo unakaribia kuisha inatokea hali mwili kusisimka.... UNAIELEWAJE HII HALI? [emoji769]Twp
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Mwenzenu napenda magari. Member hawa nahisi wangekuwa kama ifuatavyo! Mshana Jr - Buggati Veyron supersport Hajar - Ferrari Shunie - Zenvo SIT Mzigua90 - Aston Martin one Mr Miller - Honda fit...
17 Reactions
522 Replies
19K Views
HONGERENI SANA NA MUMSHUKURU MUNGU KUWAPENDELEA DONDOSHA PICHA ZA WACHAGGA WAREMBO ZAIDI
6 Reactions
143 Replies
13K Views
Mapenzi ya zamani raha sana mwanamke anatoka Kwao kabeba chakula kwenye hotpot hadi ghetto kwako Hawa wa siku hizi sio romantic kabisa anachokibeba yeye toka kwao ni chaja ya smartphone tu,hata...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
*WAHAYA kwa kujisifia imepitiliza,leo nimeskia hii Matangazo ya vifo.Ndugu Datius Rweyemamu wa Masaki anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Sophia Rweyemamu wa Oysterbay kilichotokea jana America...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Yaani nimeamini nikiandikiwaga message kwamba hakuna kupata mtu wakutulia naye jf nimekuja kukubali hapa nikupotezeana muda from now i will focus in my life. Ipo siku Mungu atanipatia wangu ila...
6 Reactions
317 Replies
12K Views
MEN, LET'S CLARIFY THIS FINALLY: When you marry a woman, Her mother becomes your mother-in-LAW, Her father becomes your father-in-LAW, Her brother becomes your brother-in-LAW, Her sister...
1 Reactions
3 Replies
431 Views
Jirani zetu wa Kenya walikaribishwa sambusa na walizipenda sana wakaomba waongezewe yale maandazi ya nyama
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa Naweza tu kusema kuwa inasikitisha ile mbaya sana baada ya jana kufika dar nikitoka shule nilishangaa mwenyewe Ile nafika mitaa ya sinza kwa remy...
3 Reactions
68 Replies
4K Views
wadau naomba kuliza aliko aliyekuwa mwalimu Wa vijana pale tyl motesco mwalimu mlande ....vp bado yupo anafundisha technical ama ...keshastaafu?
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu mmeamkaje, Jana katika pitapita zangu, nikakutana na maoni ya GENTAMYCINE kwamba: Ukiona anamwambia mwanamke "Nakupenda" ujue ni kwa ajili ya kumpanga tuuu...lengo ni ku"hit & run"...
3 Reactions
146 Replies
6K Views
1:Wasukuma wanakaa bafuni dakika 30 dakika 5 anaoga zilizobaki anasugua yebo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. 2:Kuna vitu viwili mdada huwaza anapoenda kukutana na bae...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom