JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Enzi zetu Daftari ya Mazoezi ukigeuza nyuma lilikuwa na:- Table hadi 12x12 Kubadili Centigrade Celisius kwenda fahrenheit Uwiano wa vipimo Kilomita, Hektomita, Decimita, Sentimita n Milimita Za...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Heheheheee heeheeiiyaaaa..... Waaalaaaaaaaaaahhh Leo ni alhamis na ndo kumekucha hiviii. .... kila mmoja... soma, sikiliza kisha pata kijembe chako. Kila mmoja anacho chake. Nawe kana...
6 Reactions
126 Replies
8K Views
Salute, Naskiaga sana watu wanasema, mimi namiliki banda la nyumba , ni nini na nini kinatakiwa kuwepo katika nyumba ndo tuiite hii ni nyumba? Nini chanzo cha huu msemo?
0 Reactions
3 Replies
38K Views
Wakuu kwa yeyote atakayemuona member mwenzetu mamaya popote pale basi asisite kumjulisha kuwa anatafutwa. Nimejaribu kumwendea PM bila mafanikio. Muwe na siku njema
0 Reactions
7 Replies
778 Views
Hivi maisha yameguwa taiti kiasi kwamba hata miguno ktk mambo yetu imeadimika! Yaani mdada anatega na kutulia tuli ka anasukwa nywele! Mwingine ndo anachati kabisa mkuyenge ukiwa shimoni daah...
0 Reactions
87 Replies
5K Views
Nimejaribu kiwasiliana nanyi lakini hamsomi sms zangu and mmenizuia jukwaa la Complaints how can i reach you guys!?. Najua sio Ban ningekuwa na taarifa lakini please please return my Account there...
0 Reactions
6 Replies
456 Views
- "I couldn't believe it was her. It was like a dream. But there she was, just as I remembered her. That delicately beautiful face. And a body that could melt a cheese sandwich from across the...
8 Reactions
89 Replies
15K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu nawauliza nyinyi wanaume hivi kuna nini kitamu kiasi cha kufikia hatua unamuacha mkeo ndani usiku peke yake kalala na ww unaenda mpirani! Kuna ndoa moja hapa...
11 Reactions
377 Replies
19K Views
nimeweka jukwaa la jokes sasa niye mods futeni tena
12 Reactions
166 Replies
10K Views
Hadi saa 4.15 usiku wa leo tarehe 13 March 2018, wafuatao ndiyo members 5 bora wa humu JF kwa kigezo cha kuwa na posts nyingi. Nichukue fursa hii kwa niaba yangu mimi binafsi kuwapongeza kwa...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
....
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika jukwaa Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Kumekuwa na tabia moja ambayo ikiachwa badae italeta taflan kubwa sana maana kuna siku nina uhakika tutagawana...
6 Reactions
44 Replies
12K Views
Kama umetokea mkoa huu drope seven ulikotoka nia ni kujuana ili tuweze kutembeleana msimu huu wa holiday. Wageni unaitaja sehemu unayotaka kutembelea[emoji7]
8 Reactions
155 Replies
14K Views
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Happy birthday to Me - Money Penny Namshukuru Mungu nilizaliwa siku ya baraka - International Women's Day Truely I am a strong woman Happy Birthday kwenu wote mapacha wenzangu mliozaliwa siku...
4 Reactions
76 Replies
4K Views
Kuna kaka hapa muda wote anajichukua snap chat yani kanikeraaaa. Hivi mwanaume unaendaje sehemu ya starehe halafu unajichukua snap chat jamani. Tabia za kike hizo kabisa. We kaka ulovaa tshirt ya...
8 Reactions
42 Replies
3K Views
Kama headline inavojieleza Naanza hvi[emoji116] ¶ Salimia watu wa mkaa gasi huisha ¶ mwanamke sura mwanaume shuhuli Ongeza wa kwako
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…