Habari zenu wanaJF
Nimekuwa nikiona watu wanasalimiana kwa majina, na ni dhahiri baadhi wanafahamiana kabisa.
Hali iko kipekee kwangu ambaye ni kama mwaka sasa tangu nimejiunga... sina...
I am looking for friends both males and females to chat with and share different ideas and life experiences in general....I currently stay in DSM for academic reason.I am a male taking my...
Habari zenu mabibi na mabwana.
Wakubwa na wadogo wake kwa waume.
Haya nimekuja tena kwa mara nyingine kuwapa ofa kwa wale tu ambao wapo ndani ya mkoa Dar.
Ofa itahusisha watu watatu wadada wawili...
Habari zenu waungwana wakubwa na wadogo.
Leo nimeamua kuja na swali langu kwenu akina dada, nauliza nimpende nani ambae anataka apendwe na mimi???
Najua wengi wenu humu wanajua ham ya kuwa na...
Kilinge cha dj sepetu kitakujia kila wiki mara mbili! Wiki hii kilicho trend zaidi katika social networks kibao bongo ni kuhusiana na mahusiano ya master Wa bongo movie;Ray na chuchuuu hanz...
Hivi kwanin thread nyingi humu ni za kuwaponda wanawake? Mara ooh wana iq ndogo mara oooh mnaoMBA omba hamuolewi yani hadi unajisikia huruma me ssijawahi kugundua ila jana nlikua nimekua na rafiki...
Hapa uliza swali lolote la kijinga halafu uone utakavyojibiwa jibu la kipuuzi.
Warning: Hakuna kutukanana!
Mfano: Hivi picha maarufu ya jiji la Dar inayoonyesha askari kashika bunduki, yule ni...
Wakuu,karibuni kwenye uzi huu tutakiane Usiku Mwema...
Naanza na madame emmyta ,NAKUTAKIA USIKU MWEMA MADAME,ULALE UNONO...
Pia Anko wangu Joseverest sijakusahau...USIKU MWEMA ANKO!....
Hivi ikitokea demu unayetaka kumuoa wiki moja mbele ukasikia da mange wa hide my ID siku moja kabla ya Harusi anasema anamwaga kila kutu chake utafanyaje
Me nitasubiri da mange amwage kila kitu...
Zinapandisha maji mlimani bila pampu.
Mambo mengine wala hayataki hata shule yaani.
1.mtu akitaka maandamano si u mwache afanye.
2.unataka ufanisi kazini, biashara zisiwepo ofisini,lipa...
Take the last two digits of the year in which you were born - now add
The age you will be this year,
The result will be 111 for every adult in the whole world. Is this true?
A South American scientist from Argentina, after a lengthy study, has discovered that people with very low intelligence read their emails with their hand on the mouse.
Don't bother taking...
Wanawake wenzangu
Tuendelee kupambana
Tushirikiane na kusaidiana inapobidi
TUPENDANE pia japo pana ugumu hapa ila tujitahidi kufuta kauli ya adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie
Nawatakia...
Mara nikaona facebook messenger....ngrrrrriiiiiiii imeingia text,dah huwaga nadata sana nikipata text huko kwa sababu mara nyingi huwa ni mademu walielewa swag zangu kwenye maprofile picha na...
Aman iwe nanyi wakuu
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Aisee kwa kweli Mungu ni fundi mazee kuna watu wana sura tamu sana mazee
Unaweza hata kulala miaka yote ukiwa unamuwaza yeye...
Katiba ya Marekani inasema mgombea Urais ni lazima awe amezaliwa nchini humo. Kipengele hiki kingetuondolea maswali mengi jujutsu Urania Jami like wa Marais wetu wa Afrika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.