Asalaam wanajukwaa!!
Katika kutumia mtandao huu ( jamiiforums) mzuri na ninaoupa kipaumbele sana nimepata uzoefu na maswali mengi yakinizunguka akilini mwangu kuhusu members wa hii familia ya...
Juzikati hapa nilisafiri na manzi mmoja kwenda Dodoma kufanya field practices.Huyo manzi mwenyewe huwa sina mazoea nae sana nikiwa chuo.Ilitokea tu nikakaa nae siti moja bahati nzuri zaidi sehemu...
Hivi sasa nipo busy sana nabuni ' Tangazo ' la Biashara ambalo litarushwa katika Runinga / Mkadage ambalo linahusisha Ulaji wa Ndizi iliyoiva kwa afya bora na lingine linahusisha Unyonyaji wa Pipi...
Habari mabibi na mabwana,
Mimi Avatar mok katika kuazimisha siku pendwa ya akina mama ama dada zetu. Napenda kutoa vocha ya buku mbili kwa wadada wa 5 kila mmoja kama shukrani kutambua uwepo...
Kwa heshima kubwa kabisa naomba urudishe ile avatar yako ya awali,ile avatar huwa inavutia sana ukiwa unadhurura huku na huko hapa jf,,,kile kigauni chekundu na vilee viguu vya yule dada mtu...
Chama cha watu wasio na magari.Kimewataka wanachama wake kuwa makini na madimbwi ya maji.Maana wenye magari ya mkopo wana fujo has kipindi hiki cha mvua[emoji23] [emoji23]
Wakuu.
Kama heading hapo juu inavyojieleza.
Kuna memba wengi sijawahi kuona wameanzisha uzi humu zaidi ya kuchangia tuuuu.
Wengine wanachangia na kutoa ushauri mzuri ila wengine wachafuzi wa lugha...
Ni Hivi Hawa watu Kaeni Mbali nao nawamiliki mimi ndio meneja wao.
Huyu G hamumjuui na sitaki mumjue Maana Wanawake wa humu nawajua wengine kupendwa hamjawah pendwa nikiwapatia username yake...
Inahuzunisha sana kukatisha uhai Wa binadamu bila sababu za msingi
Hivi wakati Wa kwichikwichi hamkuona kuwa kuna matokeo!!
Jamani vijana wenzangu msitekeleze watoto kwani ni chanzo cha hili...
Habari za majukumu wakubwa.
Nilikutana na mdada mmoja tangia mwaka 2015 lakini kipindi hiko alikua na mahusiano na mfanya kazi mwenzangu.
Sasa baada ya kuachana na huyo bwanake ilinibidi nianze...
Baada ya Asernal kuanza vyema EPL uongozi wa Chadema unaangalia taratibu za kuinga mkono rasmi timu hiyo ya washika mitutu wa london.
Chanzo chetu cha habari kilichoko jijini london kimetueleza...
Haters will always hate no matter what,they will hate you if you are beautiful, successful and if your right.
They will hate you if you are popular and when you get attention and also will hate...
PALE NETWORK INAPOSUMBUA Alaf Dem Una Mpenda Kupita Maelez Anakwambia Ivi..
GIRL: do u love me
BOY: sana tu!(messege failed)
GIRL:sas c unijbu jaman
Boy:nakupendaa(messege failed)
GIRL:mbn kmya au...
Jamani hivi mtu anaweza kuingia majukwaa yote kwa siku?
Au kama si hivyo sinilazima kuna mjukwaa ambayo lazima ayapite sababu anayapenda.
Mfano:
Mjomba MSHANA yeye nahisi anapenda sana Jamii...
Nimejaribu kufuatilia nyimbo kadhaa za Hemedi phd (mpemba) anajua kuimba na nyimbo zake karibia zote ni nzuri.
Jaribu na wewe kusikiliza nyimbo yake mpya hii na ujaribu kutoa maoni yako pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.