JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari zenu wanaJF Nimekuwa nikiona watu wanasalimiana kwa majina, na ni dhahiri baadhi wanafahamiana kabisa. Hali iko kipekee kwangu ambaye ni kama mwaka sasa tangu nimejiunga... sina...
0 Reactions
62 Replies
3K Views
Kwema? Wazee na mabibi, nina maswali kadhaa kwenu 1.Je farasi wanaruhusiwa bongo kutumika kama usafiri? 2.Taratibu gani ninatakiwa kufuata ili nami nimiliki farasi wangu? 3.Hapa bongo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama uchaguzi wa marudio wa Kinondoni na Siha ungekuwa huru navwa haki kusungekuwa na maandamano 26/4 Nitagawa kilimanjaro water kwa waandamanaji
5 Reactions
12 Replies
904 Views
I am looking for friends both males and females to chat with and share different ideas and life experiences in general....I currently stay in DSM for academic reason.I am a male taking my...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari zenu mabibi na mabwana. Wakubwa na wadogo wake kwa waume. Haya nimekuja tena kwa mara nyingine kuwapa ofa kwa wale tu ambao wapo ndani ya mkoa Dar. Ofa itahusisha watu watatu wadada wawili...
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana wakubwa na wadogo. Leo nimeamua kuja na swali langu kwenu akina dada, nauliza nimpende nani ambae anataka apendwe na mimi??? Najua wengi wenu humu wanajua ham ya kuwa na...
1 Reactions
142 Replies
5K Views
Kilinge cha dj sepetu kitakujia kila wiki mara mbili! Wiki hii kilicho trend zaidi katika social networks kibao bongo ni kuhusiana na mahusiano ya master Wa bongo movie;Ray na chuchuuu hanz...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Hivi kwanin thread nyingi humu ni za kuwaponda wanawake? Mara ooh wana iq ndogo mara oooh mnaoMBA omba hamuolewi yani hadi unajisikia huruma me ssijawahi kugundua ila jana nlikua nimekua na rafiki...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Hapa uliza swali lolote la kijinga halafu uone utakavyojibiwa jibu la kipuuzi. Warning: Hakuna kutukanana! Mfano: Hivi picha maarufu ya jiji la Dar inayoonyesha askari kashika bunduki, yule ni...
15 Reactions
398 Replies
20K Views
Wakuu,karibuni kwenye uzi huu tutakiane Usiku Mwema... Naanza na madame emmyta ,NAKUTAKIA USIKU MWEMA MADAME,ULALE UNONO... Pia Anko wangu Joseverest sijakusahau...USIKU MWEMA ANKO!....
3 Reactions
73 Replies
5K Views
Wewe ndiye dokta unasubiriwa na mgonjwa huyu!
1 Reactions
50 Replies
3K Views
Hivi ikitokea demu unayetaka kumuoa wiki moja mbele ukasikia da mange wa hide my ID siku moja kabla ya Harusi anasema anamwaga kila kutu chake utafanyaje Me nitasubiri da mange amwage kila kitu...
4 Reactions
50 Replies
4K Views
Zinapandisha maji mlimani bila pampu. Mambo mengine wala hayataki hata shule yaani. 1.mtu akitaka maandamano si u mwache afanye. 2.unataka ufanisi kazini, biashara zisiwepo ofisini,lipa...
1 Reactions
4 Replies
800 Views
Take the last two digits of the year in which you were born - now add The age you will be this year, The result will be 111 for every adult in the whole world. Is this true?
2 Reactions
22 Replies
3K Views
A South American scientist from Argentina, after a lengthy study, has discovered that people with very low intelligence read their emails with their hand on the mouse. Don't bother taking...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanawake wenzangu Tuendelee kupambana Tushirikiane na kusaidiana inapobidi TUPENDANE pia japo pana ugumu hapa ila tujitahidi kufuta kauli ya adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie Nawatakia...
37 Reactions
301 Replies
16K Views
Mara nikaona facebook messenger....ngrrrrriiiiiiii imeingia text,dah huwaga nadata sana nikipata text huko kwa sababu mara nyingi huwa ni mademu walielewa swag zangu kwenye maprofile picha na...
2 Reactions
12 Replies
7K Views
Aman iwe nanyi wakuu Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Aisee kwa kweli Mungu ni fundi mazee kuna watu wana sura tamu sana mazee Unaweza hata kulala miaka yote ukiwa unamuwaza yeye...
8 Reactions
162 Replies
20K Views
Katiba ya Marekani inasema mgombea Urais ni lazima awe amezaliwa nchini humo. Kipengele hiki kingetuondolea maswali mengi jujutsu Urania Jami like wa Marais wetu wa Afrika
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…