Kipenzi Mulhat Mpunga,
Siku zimesogea siku hizi wanaita siku zamwendokasi na hatimaye leo umetimiza miaka …….katika uso wa dunia hii. Hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia, hongera kwa wako...
Wakuu mimi ni mgeni humu kwaiyo nimesukumwa kuandika huu uzi usikuli nikute manunda yamelala ningependa kujua ni member gani humu mkorofi sana ambaye natakiwa kuka nao mbali?
Wakuu nawaambia ukweli msipende kugegeda warembo msiowajua gizani aisee mtakuja kugegeda majini nawaambia
Huu mzigo nilichota counter baa moja hivi hapa town nikatoka nao hadi geto ile kufika tu...
Jamaa kaamka asubuhi, kavaa track suit na kumuamsha mkewe!.
MUME: Amka twende jogging mke wangu?
MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mie tipwatipwa?
MUME: Hapana si hivyo jogging ni nzuri kwa afya...
Aisee kuna mambo ambayo ni ngumu kuyasahau hasa kipindi hicho mambo ya shule za bweni..
Yapo mambo mengi ya kukumbukwa lakini kubwa ni hawa viumbe hai member katika chama lao wanaoitukuza nyeto...
*Ukiwa na Tsh. 200,000/- na Mkeo anazo Tsh.500,000/- jumla ktk nyumba yenu mtakuwa na Tsh.200,000/- hii ndo hesabu kamili na ya uhakika. Sikulazimishi kukubali*
*Wakubwa wamenielewa*...
Ujinga ni vibarua Milioni moja wanao changa Tsh. 500 kila siku sawa na 500,000,000/= ambayo ni (Blioni 1.5) kwa mwezi na kumpa bilionea ambaye baadae huwashukuru kwa kumchagua kibarua mmoja na...
Wapendwa habari zenu,
Naomba nisiwachoshe naomba nimweleze Miss Natafuta kuwa tangu nimeijua JF na baada ya miaka kadhaaa huwa naona huyu dada anatafuta mwanaume wa kuolewa nae. Kwa muda wote...
Habari za Muda huu
wakuu
Kutokana na Ongezeko la ID's fake pamoja na Mkanganyiko Uliyomo Humu Jf juu Ya Jinsia za Wanachama Wake. Nimeamua kukaa Chini na Wale Nguri Wa...
Heri ya siku ya kuzaliwa ya mwanamke mzuri wa sura hadi roho yake, mwenye kuvutia.
Wewe ni mzuri na mtamu zaidi kuliko chochote
Upendo wangu kwako ni wa kila wakati, siku zote.
Happy Birthday ukhuty
*Ukiwa na Tsh. 200,000/- na Mkeo anazo Tsh.500,000/- jumla ktk nyumba yenu mtakuwa na Tsh.200,000/- hii ndo hesabu kamili na ya uhakika. Sikulazimishi kukubali*
*Wakubwa wamenielewa*...
Wale wapenzi wa madafu tuwe makini na aina ya watu wanauza madafu vinginevyo tutakuwa tunalishwa uchafu wao pasipo kujua
N. B Kama wewe ni mkazi wa Lindi au unapendelea kuja Lindi na unapenda...
Hii nimeikuta mahali nami nikaamua kushare nanyi.
Wajinga ni vibarua Milioni moja wanao changa Tsh. 500 kila siku sawa na 500,000,000/= ambayo ni (Blioni 1.5) kwa mwezi na kumpa bilionea ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.