JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu salamu kwenu,mara paaap mshahara umeingia, nachukua kiasi kadhaa cha pesa kinachotosha kuhudumia familia kwa chakula kwa takribani siku 30 nampatia wife anunue mazagazaga ya nyumbani halafu...
2 Reactions
8 Replies
861 Views
Habari zenu wakuu. Hii vita baridi kati ya wanaume wa dar na wanaume wa mikoani naona inazidi kushika kasi na sijui nani atakuja kuiamulia. Nasema hivi baada ya kukaa na kulitathimini hili...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Huyu shemeji yenu alichonifanyia Leo sijui nifanye nini ! Nimetoka kibaruani kuuza duka la mchaga happy mjini nimechoka,si nikasahau kumletea mikate ya chai ya asubuhi.!!Eti anadai ndiyo matatizo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Unaenda kumkamata kichaa na magari kadhaa,siraha za kutosha na askari kombania nzima kwenda kumkamata kichaa.Nani anakuwa kichaa zaidi?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
UTAFITI MCHUNGU!!! Maneno ya akina dada na maana zake halisi! 1. Nisalimie ma mkwe jaman= Mdada wa dizaini hii ni mcheshi,anajiamini, ni mama bora wa badae,ana hofu na Mungu ila usikimbilie...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habar wana JF Mwenye kujua kirefu cha neno UDA naomba anijuze
0 Reactions
14 Replies
9K Views
14 FEBRUARY Chelsea Vs Barcelona Real Madrid Vs Psg Mavalentine hakuna labda kwa wanaume wa dar tyu
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Weekend naianza vibaya, Baada ya kazi zangu zahapa na pale ikabidi niende kumsalimia Mama mzazi. Nilipofika tumbo likachafuka ikabidi niingie msalani(chooni), ile nafunga mlango wa choo nikasikia...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
WIFE: Sweety, how many women have you slept with after we got married? HUSBAND: (quiet) WIFE: (10 minutes later) Sweety, I asked you a question HUSBAND: (Quiet) WIFE: (15 minutes later)Are you...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilihamua iwe hivo lengo langu ifike miaka5. Ikiisha nataka kujaribu kukaa mwaka1 bila kuoga. NB:hata sisi weusi tunaweza kuvunja record.
2 Reactions
45 Replies
3K Views
Habarini za j3 ILIYOTUKUKA waheshimiwa sana wana jamvi,nashangaa hii siku watu wanaiita eti blue Monday hata sijui kwanini haikuwa red Monday, black Monday au green Monday.....ok hata ivo hilo sio...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ijue nguvu ya BUKU Asubuhi..chai kikombe mia2,chapati mbili mia6 na maharage ya mia mbili mchuzi mwingiii... Tayari hapo paka jioni tena!??BIKO paka Ni bahatishe noma sana.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mdau
1 Reactions
0 Replies
361 Views
Tuliowai kublaze weed , Natukaamua kuacha tukutane hapa tutoe Ushuuda ...Mimi nimeacha kublaze mwaka Jana baada ya kuona ..weed imekuwa shida kupatikana mtaani kwetu ...ndo nikasema Enough is enough.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaaam wakuu, Za Jumamosi hiko hivi Jamii forum ina majukwaa mengi, sasa wengi wetu huwa tunaishia jukwaa la MMU, Chitchat, Elimu na dini hivi swali langu jukwaa gani haujawahi hata siku moja...
0 Reactions
123 Replies
6K Views
Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu sana hii terminology, hivi ni kweli bila wanawake tungekuwa kweli hatutoi machozi.[emoji24] [emoji24] [emoji24]
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Mimi ni mtingaji, tupeane michongo ya machaka mapya, mambo ya kwenda kusotea hizo ni zama za kale! tuko kidigital sasa hivi, vipi uliko chaka linasomekaje?, vinachomoka? hr anadaka ngapi kutoa...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Ninawaza jinsi nitakavyopanua ka pensheni kangu wakati sina nguvucya kufanya kazi lakini ninahitaji kula na kutubiwa. Kama mjuavyo social security yetu bado changa kuhudumia wahenga. Hiki...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom