*Kuna dada kaandika status...... Alichonipa mungu binadamu hawez kukiondoa.....*
*nkamuuliza kwa upole tu bikra yako unayo???????*[emoji40]
Sasa hv namtumia text haziendi cjui itakua mtandao...
Katika kitu nachokipenda katika maisha yangu ni kusafiri asee,yaani kwenda mahali tofauti na pale nilipopazoea au ninapokaa.
Safari yangu ya kwanza ilikua ni kutoka Mtwara kwenda Mbeya Tukuyu kwa...
Dah.......
Tafiti zimefanyika ndani ya bongo na wabongo juu ya akili zetu....matokeo kila mmoja anayajua....
Rais Trump hapitishi siku mbili bila kutupa makavu live juu ya akili zetu.....
Hii yote...
Rafiki yangu mmoja nilimkopa Laki Sita May 2017. Alikuwa nje ya mji na mkewe akapata emergency, akihitaji hiyo pesa. Kwa kuthamini urafiki wetu, nilimtumia fasta, na elfu kumi juu ya ''kutolea''...
Naam
Kama kichwa kinavyoeleza...
Kama zilivyostarehe nyingine ktk mwili wa binadamu mfano kula, kunywa sex nk, je kwenda haja kubwa(kunya) au haja ndogo (kukojoa) nayo ni starehe ktk mwili wa...
Aisee nilikua nachat na x wangu abt our lives baada ya kauchana,ni mda mref sana,like 6yrs ago,.sasa yeye maswal kwangu mi meng sana,mara enhee hik mara kile,..sasa mwisho wa siku anauliza kwahyo...
*Uchawii sio kushika Tunguli tu na kwenda kuwanga..........[emoji250]*
*Kukaa online bila hata salam nayo ni UCHAWII[emoji35]*
*Kusoma msg za watu wanavyochat na Profile nao ni UCHAWII[emoji51]*...
Salaam wana jamvi!
Wajuzi wanasema kua yuaone. Kama tunavyohua mabachela watafutaji hususani wanao anza maisha wengi wetu tuliotokea kwenye familia dhaifu kiuchumi tunaanzia kwenye ghetto ndo...
Kuna msemo mmoja naupenda mno...'hakuna aijuae kesho yake' au wengine wanasema "kipele hakimpati mkunaji"...wengi tulikuwa na dream ya kazi ama kitu tunachopenda kifanya kwa ajil maisha yetu...
Habari Zenu Wana Jamvi Kwa Hapa Dar Kuna Baadhi ya Maeneo yani Mwezi hauwezi Ukapta haujashuhudia Ajali yaweza Kuwa Kwa Uzembe Au Emergency
Mojawapo Ni hili la Kuanzia Kiluvya Gogoni Pale Kuna...
Salute Comrades..
Wakuu
Najua nyote mnapenda jf sana na hamtamani kukosa hata siku moja hapa Jf..
Lakini hakuna kinachouma kama kupigwa ban humu jf, Hua inatesa kama Alosto..
Hivyo baasi
Kutokana...
Wazazi wangu walikuwa wakinikataza kushirikiana, kucheza na baadhi ya watoto wenzangu
Sikuwa msikilizaji nzuri wakati huo. Nilijiambia hawa Ndio marafiki zangu
Nikiwa darasa la Saba rafiki...
Methali ipi kati ya hizi inafaa kutiliwa maanani katika shughuli zetu za kila siku.
Subira yavuta heri vs Ngoja ngoja huumiza matumbo.
Maoni yenu wakuu.
Miaka miwili hii ukilala gest kuna utulivu sana tofauti na hapo nyuma kelele za wadada au wanawake zilikuwa kubwa sana wanapoingia na wanaume wao.
Hiyo screaming ilikuwa hatari....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.