JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu Kama topic inavyojieleza hapo juu. Kumekuwa na Hali ya mtu kutumia avatar ya mtu mwingine kitu ambacho sio kizuri. Kuna watu ambao ni maarufu duniani kama Barack Obama, cr7, messy na wengine...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
I love JF because of it's educative contributions "in kiswahili"from its members but when the thread is posted in English very few come out to contribute. I have also noted that the only guys who...
11 Reactions
403 Replies
18K Views
e. THE SECRETED OF SUCCESS A young man asked hassan the secret to success. hassan told the young man to meet him near the river the next morning .They met. hassan asked the young man to walk with...
0 Reactions
1 Replies
713 Views
Habarini za asubuhi, ni siku nyingine tena ya jumatatu tulivu, tuna kila sababu ya kumshukuru MUNGU kwa kutujaalia afya tele niende kwenye mada, ofisini kwangu kuna dada mmoja muhudumu wa ofisi...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Salamu sana. Na baada ya salamu je hujambo? Mimi sijambo kabisa. Dhumuni la waraka huu ni kukupongeza kwa utendaji kazi wako. Ilikuwa jana 24/8/2017 ambapo katika mojawapo ya kijiji cha wilaya ya...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Mimi kuna demu nlimdanganya nipo south Africa nasoma siku akaja nifuma nipo road nasukuma baiskel ya mkaa uku kitumbo wazo majasho yananitoka nlivomuona nlitoka mbio nusu nivunje mguu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamaaa kapata wageni bila kujiandaa, Mara mke wake akahamaki, baba J, nitawezaje kuserve chai isyo na sukari mbele ya marafiki zako maana hata ile ya mtoto haiwez kuwatisha wote. Jamaa akafikiria...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
*TAARIFA* *Kwa wale ambao hamjaoa kuweni makini Sana manake unaweza oa MTU anadaiwa na Bodi ya mikopo ya elimu ya juu Milion20 utazilipa mpaka ukome.* *Utaratibu mzuri ni wewe kwenda bodi...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Yule mkaka nnaemkubali ,nnaempenda (hapa sasa kila mmoja atatoka na wazo lake mtajijua wenyewe maana binadam mna hila nyie)haya sasa nalikubali sana hili li mkaka lizuri zuri yaan unaweza mtafunia...
12 Reactions
746 Replies
29K Views
Hawa PCM,PCB CBG ni rough sana, [emoji23] [emoji23] [emoji23] jokes!
0 Reactions
13 Replies
929 Views
Hizi emoji za humu ni tofauti kabisa nyingi zinachekesha sana maana zina mashavu[emoji81] [emoji23] [emoji23]
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimetembelea maeneo tofauti tofauti katika mwisho na mwanzo wa mwaka huu Tanzania na visiwani Zanzibar sio siri hali za uchumi wa mtu mmoja mmoja ni ngumu sana. Watumisi ktk NGO's wanapunguzwa...
2 Reactions
2 Replies
612 Views
Wakuu habarini, Kuna ka clip kafupi tu youtube cheki wanawake wanavokata mauno,
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wana jf hope mko poa uku mkiendelea kumalizia malizia weekend uswazi kuna mashushu hatari iko hivi Nina mwezi kama mmoja nimeamia uswazi hapa nilipoamia tunaishi wapangaji watatu wengine wote...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
*Hospitalini;* *Amina;--* Tumbo linaniuma sana toka jana *Daktari;--* Pole, utapona ulikula nini jana? kabla ya tumbo kuaza kuuma? *Amina;-* Pizza, keki, nyama choma na juisi *Daktari:*...
2 Reactions
2 Replies
915 Views
Nawatakia usiku mwema wanawake wote WANENE, nyie wembamba unganeni watatu watatu ndo salam zitawafikia[emoji16][emoji16][emoji16]‍♂
0 Reactions
1 Replies
986 Views
Wazee wa humu jamvini kwanza shkamoni. Mimi ni wa 30's.Huu ni uzi wenu karibuni mtufunze vijana wenu. Mambo yote mtakayosema hapa yenye busara, kwetu sisi ni mali, maneno yenu hapa ya busara...
2 Reactions
57 Replies
3K Views
Eti wanatudharau wanaume wa mjini atuna nguvu za kiume...mbona madada zao wakija kufanya kazi huku mjini, tunawapaga mimba [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom