JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamani eeeh,ukiona sura ya huyu dada inabidi mumuepuke Ana majina mengi kweli mitandaoni ,muda mwengine anajiita Anna Charles ,muda mwengine Lucy shayo ,muda mwengine Angel Francis,Grace Dominic...
7 Reactions
210 Replies
30K Views
Baada ya kuwa na msimu mzuri wa interviews,napenda kuwajulisha kuanzia hivi punde nitakuwa na host members wawili au zaidi tukizungumzia historia zao na kumbukumbu za kusisimua kuhusu maisha kwa...
0 Reactions
17 Replies
841 Views
[emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Salute, Kuna kitu nakiwazaga sana lakini sipati majibu. Ndege inatumia mafuta gani ?, nilisikia wengine wakisema zinatumia mafuta ya taa. Kwahiyo jibu kamili sijapata. Wenye kujua watufahamishe.
1 Reactions
8 Replies
11K Views
Nilikuwa ndani ya hiace, tukawa tumesimama kwenye mataa round about, nilikuwa seat ya mwisho dirishani, ghafla kutazama mbele kidogo pembezoni mwa barabara, kulikuwa na elf 2, ndani ya hice watu...
0 Reactions
41 Replies
2K Views
Daaah, been waiting for this day ever. Kesho kwa mara ya kwanza, mjengoni ikulu tena ana kwa ana na mh. Mr president nikitunukiwa kamisheni, kweli kila jambo na wakati wake. I wish ningewaalika...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Akiwa amesindikizwa na mkewe Jaqueline mzee Mengi anajivunia ujio wa passport zetu. Wale wa majuu ni kweli passport yetu ina Shonda ya Uingereza? Tunaweza juwashinda kwa passport lakini wenzetu...
10 Reactions
42 Replies
5K Views
0 Reactions
1 Replies
847 Views
Unamtandika mtoto konzi ya maana, anaanza kulia kwa sauti unanunua biskuti unampatia, alaf unamuuliza, ni nani amekupiga, anamtaja mtu mwingine tofauti na wewe...hivyo ndo rushwa ilianza Africa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamaa kaamka asubuhi, kavaa track suit na kumuamsha mkewe! MUME: Amka twende jogging mke wangu? [emoji4] MKE: Alaaa kwa hiyo una maana mi tipwatipwa?[emoji19] MUME: Hapana si hivyo jogging ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tulikua kwenye gari watu kibao hadi wengine mlangoni gari likasimama kituo kimoja kulikua kuna bibi anataka kupanda Konda- bibi twende siti kibao hata utalala Bibi - oooh sawa mjukuu Konda -...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Mbona umetupa jongoo na mti wake? Wana jf tumekukosea nini?
9 Reactions
83 Replies
6K Views
Wana-wa- Bodi mapema leo katika pekuapekua yangu ya nyaraka kadhaa za Jeiefu, nikakutana na mafile kadhaa. Ndanimwe kulikua na file zenye title ya SIASA, HABARI MCHANGANYIKO n.k . Ili mradi...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Wagumu, Baada ya takribani miaka minne ya uvumilivu na kujitenga nimerejea hapa jukwaani tuendelee kujadiliana na kupashana habari zenye tija kwa nchi yetu. Miaka minne hii niliitumia kwa mambo...
8 Reactions
13 Replies
2K Views
Huyu mzee nadhani anaishi mbezi beach au maeneo ya huko along bagamoyo road. Sasa akina siye tuendelee kujificha chini ya ujinga wa Magu kabana wakati wenzio wanamiliki vyuma vya maana kama hiki...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Leo asubuhi nawahi zangu kwenye majukumu ya kila siku nimekumbwa na balaa. Nilipokuwa napanda katika daladala ghafla suruali ikaachia(ikatatuka) kuanzia usawa wa maungio ya miguu mpaka usawa zip...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
Wale watu wa kusini tukutane hapa sio kiukabila lakini lengo ni kufahamishana vituko vya kila mtu atokapo... Mimi natoka nachingwea mjini. Zamani tulikuwa tunaenda kuogelea bwawani kwa Nammwela...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
kuvurugwa ni pale mnapokuwa wengi kwenye usafiri mnapata ajali alafu unakufa peke yako wakuu inakera sana unaweza hata ukajinyonga aisee..:(:(:( ;);););)NDO NIMETOKA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom