JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Si ajabu kumkuta mwanaume anatumia siku nzima akitumia kulike na kucomment picha na video za kina wema sepetu na zari. angalau afadhali hata mara moja moja angekuwa anapitia account ya mange...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Jamani wale wanaojua kutengeneza simu hasa software nimenunua simu yangu aina ya samsung s7 brand ya verizon cha kushangaza zile code za samsung au ile code ya kucheki IMEI hazifanyi kazi...
0 Reactions
6 Replies
750 Views
Nyie leo mi naumwa jamani ,sitaki kulala kabisa nahisi ntapitiliza,nimeletewa dawa za typhoid cipro eti 2x2 kwelii??? Badala ya moja xmoja huyu mfamasia ana nia nzuri kweli na mimi,,dawa zilivyo...
9 Reactions
117 Replies
4K Views
Mwalimu katangaza test, Akatoa Masharti; Ukiandika jibu hamna kufuta au kukata. Swali la kwanza, Taja vyakula vitatu ambavyo ukienda hotelini umelipiwa utapenda kula (marks 1) WAVULANA...
1 Reactions
3 Replies
508 Views
Kama.kawaida ya wanaume tumezidi.kuwaumiza wanawake jamani, Nimemkumbuka Anitha nilimdanganya sana akaja kugundua tukiwa kitandani alilia sana, We unakumbuka nn ukiona hii,
0 Reactions
60 Replies
8K Views
Mungu akipenda tarehe 17/2/2018 panapo majaaliwa nitafunga ndoa yangu na kipenzi cha moyo wangu kama ndungu na marafiki wa karibu mfike muda wa saa 8:00 mchana hadi 12:00 jion ktk hotel ya...
5 Reactions
2 Replies
601 Views
Mara ulkuwa unamlenga rafiki ako na jiwe,kwa bahati likamlenga bibi mzee akainama kisha akaokota lile jiwe akaweka kwenye mfuko wake akaondoka zake, utafanyaje!???
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Tarehe kama ya leo mwaka/miaka kadhaa iliyopita kulitokea nini?Nani alizaliwa nani alifariki?...! Karibuni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kwa mtazamo wangu hakuna jambo gumu na lenye kuumiza moyo hapa Duniani kama kuwa na swali ambalo hakuna anayeweza kukupa majibu yake au kuwa na tatizo ambalo hakuna anayeweza kulitatua au...
1 Reactions
2 Replies
697 Views
J
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hakuna kitu kinaniuma kama wakati sina pesa halafu nikumbuke nyumba yangu huko mbinguni ni ya dhahabu...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Nikiwa Mdogo mama yangu aliniambia watoto hununuliwa hospitalini Bibi yangu aliniambia eti nikimchungulia mti akiwa uchi nitajikuta juu ya mti mkubwa na sitaweza kushuka hii iliniogopesha ila...
0 Reactions
0 Replies
448 Views
Wakuu. Nipo hapa napiga Ile nyama pendwa leo Sasa najiuliza iweje ya home inaandaliwa kwa usafi na kwa kiwango ila hii ya huku kwenye makuti, kachumbari sijui ilitengenezwa akiwa na makamasi ila...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
Huku mambo ni moto,sijui ndio kuvurugwa na maisha... Mlokole: "Nyimbo gani mnapiga?!? Wekeni nyimbo za Yesu.." Konda: "Vipi wewe, Yesu bado hajatoa album... Abiria: "Kuna Kiti au unasema panda...
4 Reactions
22 Replies
4K Views
Wadau salam, Naomba kujua kutoka kwenu kuwa inawezekana kuwa na mchumba na msisex mpaka ndoa? Nimeuliza hivyo kwakuwa mchumba wangu simuelewi amegoma kunipata raha mpaka tutakapo funga ndoa...
10 Reactions
284 Replies
29K Views
Wakuu, Ninahitaji kunyoa kiduku na kuvaa mlege sasa sijajua kodi zake ni kiasi gani na malipo hufanyikia wapi? TRA au? Na risiti nitapata kweli?
0 Reactions
9 Replies
879 Views
Swali gani usilopenda mtu akuulize na akikuuliza anakukera?
1 Reactions
130 Replies
7K Views
Wakuu naandika uzi huu sasa niko njian to dar nikitokea njombe.nau niko moro hpa kwa mda kadhaa afu naanza safar kwenda dar.. Nilichotaka kusema nikwamba leo bhna..nimeweka record meshuka mlima...
12 Reactions
367 Replies
30K Views
Back
Top Bottom