JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wapare wengi wana makomwe wasambaa wengi ni wafupi wachanga wengi meno yao ndiyo hivyo .........ongeza
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Nina rafiki yangu aliyewekeza ktk biashara inayomuingizia faida halisi ya 50000 kila baada ya siku moja,yaani 25000,je aendelee kuwekeza hapo.au afungue ingine Tumsaidie ushauri
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Me nakumbuka niliambiwa hivyo na binti xxxxx wa kirangi ila sasahivi hata kusalimiana ni issue na hataki hata kuniona yani kwa kifupi hakuna mtu mwenye upendo na mwenzake.Katika mapenzi yetu...
2 Reactions
12 Replies
982 Views
Kama ambavyo nimeandika kwenye kichwa cha topic,nakaribisha maswali yeyote kuhusu chochote,nadhani naweza kuwa sehemu ya matatiZo au challenge zako,....furaha na amani yako.trust me i may be of...
6 Reactions
319 Replies
17K Views
Kwanza poleni na majukumu ya kusaka ugali wakuu.JF ni mtandao unaotukusanya watanzania na wasio watanzania wenye kazi,sifa,itikadi,fikra,mitazamo na karba tofauti tofauti.Humu kuna...
8 Reactions
137 Replies
13K Views
Jamaa mmoja akiwa na mtutu wa kivita maarufu kama AK47 alivamia kanisa moja la kiroho na kukuta watu wanafanya ibada. Akiwa ameuelekeza mtutu wake juu jamaa alianza kupaza sauti huku akielekea...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salute, Kuna kitu ukijaribu kukifikiria katika hali ya kawaida tu ni kigumu sana. Unajaribu kujiuliza hivi miili iliyoungana itaishije? Watu wameungana pamoja roho tofauti, mungu ana miujiza...
6 Reactions
64 Replies
4K Views
Wakuu kama inavyojieleza.
6 Reactions
74 Replies
6K Views
Habari wakuu, Tunajua usiku na mchana hupatikana kwa dunia kujizungusha kwenye muhimili wake. Katika kitu cha kujiuliza ni wapi jua linapotua, je lenyewe halisimami? Najua mtabeza. Ila toeni...
0 Reactions
82 Replies
10K Views
Salute, Kama kuna vitu vya kujiuliza ni suala hili la mahari, yalianzia kwa nani? Kama ni kwa adamu na hawa, nani ndo alopewa mahari?, je aloiidhinisha hiyo ndoa? Acha porojo njoo na majibu...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
0 Reactions
7 Replies
2K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwema wadau? Nitakuwa Lindi for two weeks. Naomba taarifa juu ya hali ya hewa maeneo hayo, je ni joto sana au joto kawaida? Na kwa upande wa umeme nasikia hii ni changamoto kubwa, je hilo tatizo...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu nmerud jana nyumban frm safar,nilikua mkoa huko kikaz,wel bachelor in town..nipo na cruiz tuu sehem tofaut,.toka jana saa 6,..sasa yaan kwa wanawake nao waona hku nakotembeleani hakika dsm...
2 Reactions
66 Replies
7K Views
Hapa tunakutana marafiki wa sehem mbalimbali ndani ya Tanzania na nje ya Tz kwa kuchangia mawazo na kukutana na kujuana pia kwan sote tu wa moja...... pia hata whatsaap kundi lipo la best friends...
0 Reactions
2 Replies
671 Views
BAHATI MBAYA Mume na mke wanafanya mapenzi gizani kwa muda wa miaka kumi,ndipo siku moja uzalendo unamshinda mwanamke na kuamua kuwasha taa ila ghafla alipigwa na bumbuwazi baada ya kuona kuwa...
6 Reactions
10 Replies
3K Views
Umefika 28 huna mchumba wala boyfriend wa kueleweka. Nikisema boyfriend wa kueleweka yaani yule ambae uko free kwenda hata kwao na familia yake unaifahamu. Umempata huyu kaka ni mgeni ndiyo...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Jana tulikwenda kukumbuka enzi Mimi na babu yenu, yes wanapiga zilipendwa pia. Wadada wazuri wamefika club wanaomba kabisa wanaume wawanunuliwe drink Kama huna hela hivi kutoka ni lazima? Hiyo...
17 Reactions
105 Replies
5K Views
Nimeingia zangu Same jioni hii,napata mbili moja moto hapa PADECO.Ndio sehemu ya Band Live hapa Same town.Nakula nyimbo za zilipendwa na disco "vumbi" na wanangu wa Mererani. Mwana Jf aliyeko...
0 Reactions
7 Replies
653 Views
Mko kwenye Ndege halafu ghafla unasikia tangazo lifuatalo.. "Mabibi na Mabwana, Mimi ni Rubani wenu Naeongea, ..Ukiangalia upande wako wa kulia Utaiona Flight namba 195 inajaribu kupambana na...
1 Reactions
3 Replies
788 Views
Back
Top Bottom