Jana nilienda mlimani city, katika kufanya shopping, nilipomaliza wakati natoka nikaona kuna Restaurant, nikaagiza chakula wali kwa samaki "change"na juice ya ukwaju ila kosa nililofanya...
Hi jf, weekend yangu nipo hapa pub na mafrends zangu,nimekuta kuna kuku wa ukweli,je hapa arusha kuna sehem gani nyingine panakuku wa kienyeji wa kuchoma kama hapa big l?
Wakuu habari za muda huu,
Kama ambavyo kichwa chajieleza,tupieni hapa maneno ya kinyume nyume tupate kufurahi.
Mfano,
......mbona unaumwa unakonda nini?
......mapigo ya mbio yanaenda moyo
Ni nini unafikiria, unapanga kufanya au kumiliki kwa wakati was baadae?
Kwa kuanza, mm nafikiria/ Nina ndoto zifuatazo.
@ before age of 26 yrs old
-shamba/ mashamba jumla ya ekari zisizopungua...
Mpendwa ******* MUSHI, HERI YA SIKU YA KUZALIWA. Vodacom imekupatia DK 2 voda-voda na 20MB za bure ufurahie SIKU YAKO YA KUZALIWA.
Sipo katk promo....ila niwape heko vodacom kwa kujaribu kuwa...
*At least she's honest*
[emoji485] *Man* offers a drink to a woman.
*Woman*: No thanks, I don't take whisky. It's bad for my legs!
*Man*: Legs? Thats strange!! Do they swell or hurt?
*Woman*...
Mpendwa ******* MUSHI, HERI YA SIKU YA KUZALIWA. Vodacom imekupatia DK 2 voda-voda na 20MB za bure ufurahie SIKU YAKO YA KUZALIWA.
Sipo katk promo....ila niwape heko vodacom kwa kujaribu kuwa...
Katika maisha watu huwa na wakati wana hamu ya kufuatilia habari fulani fulani za mtu ambazo ni za "gossip"
Na gossip huwa inavuta watu hasa kuifuatilia.
Ila kwa tathmini yangu nimebaini kuwa watu...
Nina ofa kwa wadada wenzangu wa JF, nina mzigo wa nywele originally nywele za peruvian hair na brazilian hairs.
Mzigo uliobakia mpaka sasa grade 8a na 9a peruvian na brazilian.
bei ni chee...
Jamani, naombeni orodha ya wana JF ambao wanadeka kupita kiasi.
Yani wao ishu ndogo tu ya kuweza kuisolve offline lazima wailete huku kuomba msaada...
Weka hapa majina yao tuwajue ili tuwadekeze...
Habari zenu wakuu, Humu Jf kuna threads za kila aina kutoka majukwaa tofauti tofauti. Sio mbaya tukihabarishana kwa kutaja jina au link ya thread yako au thread ya member mwingine iliyokuvutia ili...
Tunafahamiana , tumezoeana na ikitokea akakosekana mtu humu kwa muda mrefu tunaulizana huyu miss chagga mbona hapatikani JF? au waungwana Miss Bantu au MziziMkavu siku hizi hatumuoni humu...
Nilisoma Shule (Ya Msingi) ambayo Mama alisoma na waalimu wa Pale waliokuwa wanamjua mama wakadai Umerithi Akili za Mama yako, wakaenda mbali kwamba Mom was a Genius hakuwahi shika Namba tatu...
jf inamambo yake,
kuna hawa jamaa waliokuwa wanafanya interview humu sijui siku iz wameishia mitaa ya wp. mimi ni mdau wa hayo mahojiano, hebu tucheki ni nani alikuwa vizuri kwenye kuhost show...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.