JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Salaam. Unaweza kujiona upo peke yako kimwili ila kiroho mpo wengi kiasi chakujaa jumba flani kubwa. Wakati naandika huu Uzi saa 01:23 usiku nilianza kutafakari Ukimya uliopo hapa mahali...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Labda ni ugeni,ila sijawahi kusikia social net-work,forum kama Jf,anayejua,anijuze!!
0 Reactions
2 Replies
795 Views
Samahan ndugu wana jf kwa muda mref nimeshindwa kufaham, pia nimeuliza katika jamii inayo nizunguka lakn sijapata jibu kamili. Naja kwenu wana jamvi mnijuze kuwa nazi ipo katika kundi gani...
1 Reactions
8 Replies
902 Views
Kanchō huu ni mchezo unaopendwa na watoto wa Kijapan, Unachezwa kwa kuunganisha vidole vya mikono yako yote miwili inakua kama bunduki hivi halafu unaenda ingiza kwenye matako ya mhusika halafu...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndondondo si churururu ! Ndivyo ilikuwa nianza kwa kupenda michango yake iliyopevuka iliyosheheni mapenzi ya kweli na nia ya utulivu uso kifani,Taratibu dozi ikaanza kuniingia lahaula la kwata...
13 Reactions
365 Replies
15K Views
Sikh moja jamaa mmoja aliingia dukani kwa mchina na kumwambia mchina kuwa Jamaa:vitu vyote vilivyomo humu kutoka Uchina ni fake Mchina:thubutu! Ijaribu sumu ya panya kama fake Nalog off
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Aman iwe nanyi wakuu katika jukwaa letu Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu Ni siku sana moyo wangu unakwenda mbio sana nionapo coment za cocochanel yaan mapigo ya moyo hujikuta...
1 Reactions
10 Replies
876 Views
Nauliza tu Kama hujui usiseme kitu,we like tu usubiri mwenye taarifa kamili atuambiye
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Salaam, Wakuu mchezo umemalizika muda mfupi uliopita ( ndani ya dk.90 ) mnyama ameshatafuna ganda la mua ! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] !!!
1 Reactions
6 Replies
1K Views
0 Reactions
1 Replies
725 Views
Msione nipo kimya sileti nyuzi za kuwachekesha za hapa na pale,ninangonjeka mwenzenu ,naumwa pia dawa zinanipeleka puta kweli,muda si mrefu nitakuwa katika hali yangu ya kawaida nitawaletea...
0 Reactions
6 Replies
592 Views
Kuelekea siku kuu ya wapendanao, na kama kwa upande wako vyuma vimekaza, hii ni zawadi tosha kwa mupenzi yako. Itasisimua, itawakumbusha mambo mengi ya nyuma na itawatoa machozi ya furaha...
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Habari za weekend wadau nipo Tabata hapa Kb paradise napiga bia mbili Tatu lakn castle lite wenyewe wamekiri kua wamevamiwa na Serengeti lite na Bei mpya ni 2000... For sure we've been hacked.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Kuna jambo limenifikirisha hapa nikaona nisiliache lipotelee hewani.. Humu ndani pamoja na kuhabarisha na kupiga soga, naamini kila mmoja ana ujuzi wa jambo flani kitaalamu.. Bahati...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Mnaonaje silaha za polisi zivalishwe (salama) kabla ya kutumika kutafuta waalifi ili iwagonge tu lakini isiwa7bishie maafa???
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Haya ni mawazo yangu tu, sijui kwa wengine. Labda nikiishiwa muda wa maongezi, napo nitapiga simu tu na si mengine
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Habari za saa hizi ndugu Kama kuna mtu hapa ndani ni Mwirak naomba tuwasiliane hapa hapa kuna ishu kuhusu mila zao nataka niulize. Tafadhali please!
0 Reactions
68 Replies
5K Views
Jamani wanachitchat naomba kwa dhati niseme jf imenipa nafasi ya kuongeza marafiki. Kwa siku nilizokaa Arusha kwa Kweli nimeutendea vyema muda wangu..Na kwa dhati niwaombe mikoa mingine tuige ya...
9 Reactions
90 Replies
5K Views
Nawatafuta Hawa wadau wa chitchat aisee... Mkaguzi wa bikira mkuu Asprin Mwenyekiti wa jukwaa mhe Baba V Mzee wa busara Watu8 Mama Mchungaji Mamndenyi Mabinti wa watu8 charminglady wise lady...
6 Reactions
95 Replies
5K Views
Back
Top Bottom