Bila ya kupoteza muda, wakati tunakaribia kuazimisha ile sikuku yetu pendwa ya Valentine ni kitu gani haswa mngependa kukipata siku ya kesho kati ya hivyo tajwa hapo juu?
Habari wakuu,
Mimi binafsi starehe yangu kubwa napenda sana mademu, yaani nikiwa na mtoto mkali nasikia sana raha.
Je wewe mwenzangu starehe yako ni nini?
Usiku wa leo Nimeota(sijui kama ni ndoto au ilikua kweli) kwamba nimeamka kitandani lakini ile natoka kitandani kiwiwili changu kilibaki pale kitandani nikajaribu kuwasha taa ikagoma kuwaka. ule...
watu wambeya mpooooo njooni huku tuwasute.
(1)
Wakija dar hupenda kwenda hotel in nakugiza wali nyama au ugali nyama choma.
wakisha ulizabei,utamuona anakohoa nakumwambia mhudumu punguza kidogo...
kuna kinadada wengine wanakela kwel kweli mimi nakubembeleza unikubalie ombi langu alafu we unaniuliza elimu yangu inamaa mi nimekuja kukuomba kazi au? Hii ilinitokea juzi
Mjukuu Wangu chaula hujajambo ni mimi babu yako nimeludi kutoka kongo sasa yale mambo yetu yatakwenda vizuli naile ndagu niliyokupa inaonekana imekufa vizuli maana kilakunapokucha unaongeza magali...
"Chondechonde usinifungulie uzi"
Aliirudia kama mara mia.
Ukiiona hii post najua utacheka sana lkn ndo hvyo. Kanali nimefuzu kuficha nyeti zangu kuliko siri za moyoni. Nimeshindwa mpka nmeona...
NAONGEA NA WEWE!!!!
Wewe ambaye miaka mi5 ya uchumba,
ushamfunuafunua mtoto wa watu kama Sufuria la Pilau msibani,
Unamjua mwili wake kama unavyojua mabeti ya wimbo wa Taifa,
mtoto wa watu...
Kila siku umeme kukatika imekuwa kawaida ktk maeneo tofauti tofauti ya Jiji la Dar sijui mna tatizo gani Tanesco kila siku badala ya kuboresha ndio mnaua kabisa shirika.
nataka kuanza mazoezi ,nikipata mwalimu kama huyu naahidi nitakuwa mwaminifu kwenye mazoezi na sitakosa hata siku moja,na nitapenda sana kufanya mazoezi aina yote,unajua kila kitu kinahitaji...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Naandika hapa nikiwa na maumivu makubwa sana na sijui hata hatima ya maisha yangu, ndugu zangu sasa wamekataa...
Kwa kipindi ambacho nimekuwa mtiifu mzuri na mfuatiliaji wa michango mbalimbali ianzishwayo na baadhi wa member wa kike humu kwenye jamvi la mahusiano na hasa wale wanaojiita majina ya kuvutia na...
Wakuu poleni na majukuu leo mwenzenu nimeota nakabwa shingo mpaka kupoteza na pumzi usiku wa manane lakini wakati nakabwa niliona ndotoni sura kama Mshana jr akiwa na miwani yake ile ya tinted...
Habari yako mshana Jr
Awali ya yote napenda niseme wazi kuwa JamiiForums imekuwa ni sehemu pekee ambayo nimekuwa nikifarijika sana hasa ninapokutana na ma-star kama akina mshana jr , GuDume ...
Kila mwana JF ana avatar yake lakini kiukweli kuna zingine ukiziangalia mpaka unakosa majibu.
Hivi unaweza kueleza maana ya avatar yako na kwanini uliamua kuiweka hiyo?
Mimi yangu ni kwasababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.