JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wimbo:LIKO LANGO MOJA WAZI. Verse 1: Liko lango moja wazi, Ni lango la Mbinguni; Na wote waingiao Watapata nafasi. CHORUS: Lango ndiye yesu Bwana, Wote waingie kwake...
8 Reactions
52 Replies
11K Views
mzigo umeisha wote
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Happy night friday everyone . hivi weekend wapendwa mnafanyaga nini? Napenda kujua marafiki huwa wanafanyaga nini weekend . Kuna mtu kaniambia anaendaga ufukweni mf.zanzibar,bagamoyo,pangani na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Leo ni Friday kesho ni Saturday, eti mtu anasema nikalale why? Napata bia zangu kumaliza wiki salama eti kalale. This is too much man, tuacheni tupumzike hatuwezi kuishi kaa tupo lupango...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwanini Jf isiongeze forum hizi? 1.Jf tourism 2.Jf Transportation NB: natamani kuona comment ya mkurugenzi Jf plus others,nini maoni yako?
2 Reactions
2 Replies
461 Views
I am proud to be among them.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wandugu.....mie mgeni. Naomba kuwa mwenzenu. Nitaweka vipi picha pembeni mwa jina langu?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dooh nimekaa miez sasa lkn hizo harusi nilizohesabu ambazo naziona na nilizoalikwa hatar Mmhh hapana aiseee hiv watu wanaosema hakuna wanawake wa kuwaoa au hakuna wanaume wa kuoa mbona huku ndoa...
2 Reactions
53 Replies
5K Views
wale wenzangu wapenda hiyo hapo chini naomba tutafutane ijumaaa hii. kwa wale wasiotumia samahanini wote.
9 Reactions
46 Replies
7K Views
Kwa update na episode zilizokupita njoo in Jamailraja AZAM TV ‍‍‍
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Nimebaini watu hufurahia sana na kupongezana sana iwapo itafika hiyo tarehe yake ya kuzaliwa. Shida yangu inakuja pale linapokuja swala la kumposti huyo muhusika kwenye hii mitandao yetu pendwa...
0 Reactions
3 Replies
970 Views
Salaaaaaaam. Well, tumekuwa tukiwasiliana na wadau wenzetu mbalimbali humu jamvini na pia hata kutaniana kwa hapa na pale ili mradi masaa yapite tu. Kuna muda utani unazidi hasira zinapanda na...
4 Reactions
396 Replies
19K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza: Si mara ya kwanza ngozi nyeupe kuniomba urafiki baada ya kuwakulibalia wananitumia picha za ngono. Jamani dunia imekwisha mtu haujazungumza nae kitu chochote...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kama unamfaham kijana anajua kuingiza data kwenye computer mwambie atume maombi mwisho juma pili kazi ni ya siku tatu na mshara ni 450,000 kwa siku tatu yaan tarehe 29,30,31 mwezi huu Kwa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu tuwe wakweli, wewe kwa sasa uko wapi
4 Reactions
68 Replies
9K Views
[emoji23] [emoji23]
0 Reactions
1 Replies
576 Views
Habari yenu wanajf nikiwa Morogoro chuo nikapata dharura ya kuja hapa Dar es salaam mara mojaa. Mengi nimeyaona ikiwa pamoja na kushangaa jiji pamoja na mwendokasi, pia jengo la tanesco pale...
4 Reactions
24 Replies
4K Views
Majuma machache yaliyopita kuliibuka mijadala mikali sana ya kumdhalilisha mwanaume mwenzetu maarufu sana kwenye tasnia ya burudani hapa nchini kwetu Tanzania jina lake nalihifadhi kwa picha...
10 Reactions
102 Replies
6K Views
Nawapenda watu wairinga, ilamnanikela,hakuna mlefu wote wafupi wake kwa waume .wanawake oleweni namakabila mengine mchanganye mbegu Wanaume hamjuikutongoza makabila mengine? changanyeni...
3 Reactions
30 Replies
6K Views
Huyu licha ya kuchimbwa kamkwara kadogo na yule jamaa wa DSM pale bado anaendelea kuonyesha ukomandoo wake. kama vipi hebu afungue account hapa Jf halafu yale mambo yake ayalete huku ili tumpime...
1 Reactions
82 Replies
6K Views
Back
Top Bottom