*Mtu sahihi*
-Anaamka saa 11 alfajiri kila siku.
-Anafanya mazoezi
-Anatandika kitanda chake
-Anasafisha chumba chumba
chake
-Anafanya kazi kwa bidii
-Hanywi pombe
-Anasaidia kazi za jikoni...
Usiku wa leo nimeota nipo
Uwanjani nafanya mazoezi ya kukimbia
Na kurukaruka na mazoezi ya viungo
Na Erasto Nyoni, sijui SIMBA au AZAM
wana mpango wa kunisajili, nikawe streaker wao nikawafungie...
Embu tupia hapa jina/Majina ya movie kalii ambay/zo unazikubalii hata uangalie mara ngapi huchoki kuzitazama.
Me naanza na hizi..
1.3idiot
2.kongfu hustler
Kichwa cha habari chajieleza.
Wiki inayofata nategemea kuwepo Dar nikitoka safari yangu ya hapa na pale.
Kwa hiyo nimeona si vyema kufika hapo halafu nisiwashirikishe na nyinyi.
Ninaemuhitaji awe...
1.Ndevu mzuzu
Ndevu hizi wanazo wanaume wengi wanaoishi uswahilini.
Mara nyingi wenye ndevu hizi hupendelea sana kwenda kwenye "MINUSO" wanakula sana ubwabwa na pia kwenye vijiwe vya kahawa...
Asallam
nimeshtushwa na Habari toka mkoani Sumbawanga juu ya uwindaji na ulaji wa panya pori.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara mkuu wa mkoa wa Sumbawanga ndugu Joachim Wangabo amemuagiza mkuu...
salaam,
hii ni kwa wale wote waishio mikoa ya kusin kusin....kwa kina kamwene,mwagona,ughonile,mwakata,mapembelo.....nk.tufahamiane jaman.Tafadhali.
Iz mambo za kuwa na mpenz from mbeya to kigoma...
Mmmmmmhhh kuna mkaka huwa nawasiliana nae ,anasoma nchi za watu sasa yupo likizo,huwa ananitafuta sana na sasa ananisisitiza tukaishi wote Dar,mi kiukweli na Dar mbali mbali lile joto...
ahsalam,,,,,,,
kwenu leo nimekuja ninalo linalo nitatiza sana jaman
eti kua na marafiki wengi kwenye mitandao ya kijamii kuna ondoa ushirikiano wako na wale wengine walioko mtaani kwako au...
Familia moja walifurahi sana kupata mtoto. Lakini majonzi yalianza pale walipogundua siku zinaenda lakini mtoto hawezi kutamka neno lolote, mtoto alizaliwa bubu.Siku moja ghafla wakasikia anasema...
Mwanasheria mmoja alifanya mapenzi na mchepuko wake kwenye gari lake, basi yule msichana alifurahia sana lile tendo kiasi kwamba akasahau nguo yake ya ndani kwenye gari. Yule mwanasheria alipofika...
Leo nimeamka tu na hii nyimbo kichani,kuicheki nikavutiwa sana na hii misambwanda kwenye hii video. Nitajieni majina ya hawa ma-models niwatafute ss hv, kwa maana uvumilivu umenishinda....kuna...
Hi Wana jf ninatoa maoni yangu naomba tushauliane kidogo ,hivi kuna uhalali Gani kwa sisi wenye vipara kulipa ela sawa na wenye nywele kamili namaanisha kichwa kizima tena tukienda saloni...
Imekuwa kawaida sana siku hizi ukiingia kwenye post kukuta karibia kula aliecomment Uzi kuwa na title ya jf expert member, Hiki cheo ndicho cha juu ukiachana na vile vyeo vya kulipia ama vile vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.