JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
[emoji117]Walianza panya kula vifaa vya ofisi ya Raisi [emoji117]nyoka nae akameza mamilion ya pesa Sasa nyani nae kapita Nazo Naic kama katumwa na mtu Huyu [emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Niko sehem fulan hapa napata lunch..sasa kuna jamaa kaka na demu wamemaliza kula nadhan ilikua ni wakat sahihi wa jamaa labda kuanza kutia vocal au stor flan za kusisimua, sasa kinachoendelea demu...
10 Reactions
41 Replies
3K Views
Wana JF kuna post moja nilichangia, lakini nimestuka kuona members wengi wanahoji kama mimi ni jinsi gani! Ili kupunguza maswali MIE NI MWANAMKE Ahsanteni
8 Reactions
96 Replies
5K Views
Mie sijambo kama nyie. Nasema kutoka moyoni tena bila kushuritishwa na mtu, napenda sana tabia ya huyu dada member mwenzetu hapa JF. Huyu dada hana maringo, hana hasira hata mtu akimjibu utumbo...
58 Reactions
701 Replies
41K Views
Nakumbuka mtihani wa darasa la saba unaanzaga kama masikhara hivi! 19+87= 219-45= 12x34= 59÷7= .... halafu huko mbele sasa kuanzia swali la sita na saba hivi, utajutaa: Ndege inatoka Dar saa...
16 Reactions
79 Replies
6K Views
sijamuona siku nyingi sana huyu bidada humu ndani,popote alipo namsalimia
0 Reactions
34 Replies
2K Views
*Ni Tanzania pekee unakutana na mtu amezunguka kutwa nzima amepigwa jua huku anauza kitabu kilichoandikwa* *NJIA YAKUWA BILIONEA KWA MTAJI MDOGO* Ebu tupia na ya kwako tucheke wote..hii nchi ni...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nilikuwa nimeshasikia lakini sikuamini kuwa, kuna midume humu inayotumia avatar ya kike ili kudanganya watu kuwa wao ni wanawake! Inaonekana jambo hili ni kweli. Watu wanajikuta wametembelea pm...
3 Reactions
85 Replies
4K Views
Shost yangu kajifungua watoto mapacha, wakike na wa kiume. Wanafamilia wamekaa pamoja na kuwapa watoto hao majina. Msichana ameitwa Mange na Mvulana anaitwa Kimambi. Hongera zake kwa kupata watoto...
13 Reactions
95 Replies
6K Views
HABARI NJEMA KWA WATU WANGU WA NGUVU NIPO DAR BAADA YA KUTEMBELEA TANGA NA MOMBASA SASA NIMELEJEA.NINAWALETEA Vumbi vumbi vumbiiii Vumbi la Congo, kitu vumbi la congo wajanja hawajutii Hii ni Dawa...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Naanza safari mida hii nikitokea Msata kilingeni... Nina ishu ya kufanya hapo bandarini mpaka saa nne takuwa nimemaliza Kwa heshima kuu nitaomba mrembo aliye tayari tuonane japo kwa kinywaji na...
10 Reactions
163 Replies
10K Views
Jumatatu imeanza kwa kuwa ubusy kama kawaida yake. wazungu anaita "Blue Monday" nimefika mapema ofisini kuepuka foleni nikiwa parking nimetulia anakuja mfanyakazi mwenzangu na mdogo wangu pia jina...
2 Reactions
41 Replies
9K Views
"Pole pole" ni neno lenye mkanganyiko sana kimaana na hasa zaidi katika matokeo yake, mfano kama ni chombo cha moto/kiumbe hai huwezi jua kinasimama, kinazima au kinakwenda mbele, kinakata kona...
0 Reactions
0 Replies
773 Views
Wengine wanapost mpaka wakiwa wanakula ugali
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Serikali ipo wapi? Watu tunashindwa kulala. Watu tunashndwa kufanya kazi zetu kwa amani. Hali imekuwa mbaya sana. Na inashangaza rais anasafiri anatuacha katika hali hii. Hatujui hili suala...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
habari wana JF, Naomba kama wanaJF waishio Mwanza tufahamiane. Namaanisha wanaoishi Mwanza sio waliozaliwa Mwanza karibuni
9 Reactions
255 Replies
17K Views
Wazima humu!!!! Jana nilipita maeneo ya soko kuu la Mwanza mjini nikashuhudia wamama wawili wauza ndizi za kupika wakijiponza wenyewe hadi kutiwa nguvuni. Akina mama hao wauza ndizi za kupika...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Wakuu haka katoto ni kapya kabsa kwenye list,na maulana akijalia ndo nataka kaje kua mke yaan plan ni kukajaza mapemaaa..maana ni kazur balaaa. Nataka nijiweke mazimaa,makandokando yoote nitupe...
0 Reactions
46 Replies
3K Views
Habari wadau, kumekuwa na wimbi kubwa la watu kukimbilia nchini Afrika Kusini. Hivi nini hasa wanachoenda kufanya huko kwa maana ya shughuli za kuwafanya wayamudu maisha ya huko?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom