JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wakuu wasalaam, Bwana mimi huwa sipendi kubishana kabisa na mabinti na hata akinikosea huwa siwezi kumfanya chochote namuangalia na kumwacha tu. Kama ni muelewa huwa namkanya aache kitu fulani...
20 Reactions
156 Replies
11K Views
Napenda niende moja kwa moja kwenye mada yangu napenda kuuliza jaman wana jf ni kweli ule msemo wa ujana ni maji ya moto upo vp huo msemo...
0 Reactions
9 Replies
37K Views
One day nko na my friend night tumetoka kupiga maji taka bar flani hv mitaa ya sinza kipindi hiko ndo nmeingia dar kutoka mkoani bado sijalizoea jiji.tukiwa tunajikongoja kurudi nyumbani jamaa...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wakuu,ni matumaini yangu kuwa ni wazima na poleni na majukumu mbalimbali ya kulijenga Taifa. Kwa kipekee nampongeza sana aliyeanzisha uzi wa kupeana likes kwa ubunifu mkubwa...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Mchaga, Msukuma na Mchina walikuwa wamekaa hotelini wanakula chakula. Ghafla nzi akatokea dirishani akaenda kwa mchaga, mchaga akamfukuza. Nzi yule baada ya kufukuzwa akaenda kwa msukuma, msukuma...
10 Reactions
11 Replies
3K Views
Saaaaalm... Natumain week end imekaa poa sana kwako. Bila kupoteza muda naenda moja kwa moja kwenye mada Husika na kicha cha Uzi Kuna jamaa angu mmoja n rafiki yangu kipnz Leo kaja kwangu...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wana jf! Kwanza kabisa napenda niweke wazi mimi si mkazi wa dar ila kusoma tu ndo kulinifanya nifike dar bila hivyo ningebaki porini kwwtu kama kungekuwa na chuo kinafundisha yale...
0 Reactions
19 Replies
831 Views
Yaani; hivi humu Chit Chat mnajuana au? Maana hadi raha. Namimi naomba nikaribie. Naitwa Shenazi Khamis Bweni.
1 Reactions
104 Replies
5K Views
Wana Bodi, Sio kwa mfulio huu![emoji134] [emoji24] . Hela niliyobaki nayo haifiki hata Elfu Tano za Kitanzania.[emoji134] [emoji24]
4 Reactions
97 Replies
13K Views
Salute, Kuna uzi mmoja uliletwa juzi, unahusu biashara ya Nazi kutoka tanga kwenda Zanzibar anisaidie kuweka Link hapa. Nawasilisha.
0 Reactions
8 Replies
942 Views
Fredrick afisa ardhi wa Misungwi ageuka nyoka
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Unajisikiaje unavotumia muda wako kuandika Uzi na kuuwathilisha humu ktk jukwaa pendwa la JF na kisha Uzi uo ukakosa kupata LIKE hata 1 lkn pia hata mchango wowote usipate toka kwa Members wa jf...
0 Reactions
5 Replies
901 Views
Habari zenu wanaJF...naomba msaada kujua wapi naweza kujifunza kuogelea kwa dsm maeneo ya sinza au mikocheni.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mzuka Wanajamvi! Huyu binti wa kizungu Ni mshenzi sana. Just look at those huge hips and arse. You can't pull off from that arse if you had a chance. It's an arse that can make all your dreams...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari za weekend wana chitchat.Huu uzi ni wa kushauriana mambo ambayo hutakiwa kufanya kwenye first date na Yale ambayo ni mazuri unayopaswa kufanya kwenye first date. Mtoko wa kwanza ni siku ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
No comment.... [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]
0 Reactions
24 Replies
2K Views
wakuu assume mtu umekuwa uki masturbate kwa week mara tatu au mbili kwa miaka kama mitano then ukaanza kuona effects kama ku loose concetretion na memory kuanza kuwa week, hapo tunasema ni effects...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wadau kwema, ni miaka 32 tangu nilione jua, ila ni miaka 17 tangu nimeanza ku kwichi kwichi. Ila katika miaka yangu yote hiyo cha kugegeda sijawahi kutana na mtoto akiwa bikra aisee, kiukweli...
1 Reactions
69 Replies
17K Views
Ukitaka kujua huyu katoka mkoani siku chache tu zilizopita, Akiwa beach muda mwingi atakua akipiga picha bahari, yaana atataka aonekane akiwa baharini kabisa. Ukienda kwenye profile yake huko...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Toka jana najisikia vibaya ,mara kizunguzungu,,yaan nikawa hovyo hovyo tu,leo nikaona niende nikapime hakuna namna ,,kufika hospital nikamuelezea dokta navyoumwa ,akaniambia nikapime maralia,UTI...
16 Reactions
229 Replies
11K Views
Back
Top Bottom