Kwa uzoefu nliopata toka kwa jamaa mbali mbali na mimi pia kushuhudia katika pita pita huko mitaani nmegundua mambo kadhaa katika makabila haya.
1. Wenyeji wa singida. Hawa toka wakiwa watoto...
Habari zenu wanajukwaa.
Niende kwenye mada moja kwa moja. Mimi nina mwili wa wastani, sio bonge wala sio kimbaumbau. Ila nina kitambi fulani hivi, sio kikubwa sana ila kinanikera sana kuwa nacho...
Declaration of interest.Mimi ni handsome boy,sina kitambi Yaani Nina mwili wa mazoezi.Kuna baadhi wa warembo humu waliwahi kuomba picha zangu nikawatumia so wanaweza thibitisha hili.
Hivi...
Mkiachwa mnalia.
Mkivishwa pete mnalia.
Kwenye tendo la ndoa mnalia.
Mwezini mnalia.
Kuzaa mnalia.
Ukipewa zawadi kubwa unalia.
HEBU LEO MTUSAIDIE TATIZO LENU NI NINI HASA TUWATATULIE MOJA...
Habari,
Kwanza haina gharama,mambo ya kulipia lodge,chakula,vinywaji,nauli,mara wigi,sijui kusuka,shangazi kafiwa na mtoto wa mjomba wake hivyo inatakiwa mchango nk nk
Pili unamtafuna mtu yeyeto...
jana jioni nimetoka ofisini late kidogo tupo moja ya majengo machache marefu sana hapa DSM. basi nimeingia kwenye lift ghorofa ya pili kutoka juu ndani nikamkuta dada mmoja mrembo hasa.ile lift...
Uko wapi mjukuu wa kisandu?
nimemis post zako zisizo na mbele wala nyuma. Nilisikia mamwela walikunyaka... ni kweli?
sema na wewe punguzaga matusi aisee
Nampenda ...
Namuamin...
Namuheshimu has a katika kugawa ridhiki na maaamuzi
Yeye akiwa upande wangu nan aloe juu yangu????
Akiamua hakuna wakupinga hata ufanyaje....
#mungu pekee
Rafiki...
1. Simba vs Yanga
2. Diamond vs Alikiba
3.Messi vs Ronaldo
4.Nyumba kwanza vs Gari kwanza
5.Ujasiriamali vs kuajiriwa
6.Rayvanny vs Aslay
9.Maua Sama vs Nandy
10.wowowo vs kimbaombao
Ni...
Salaaam
Wapendwa nahitaji kufungua account ya you tube kwa faida
Mean wanavo weza nufaika wengine kupitia huko
Tatizo sijui procedure za kufuata na kuimiliki pamoja na garama zake.
Kwa anae...
Leo roho yangu inaniambia kabisa kwamba nimtaje na najua kama nikimtaja basi atakuwa ni mwenye furaha isiyo ya kifani kwani ama hakika ' Kupendwa ' na ' Purely Talented, Charismatic Fella and a...
Hawa jamaa tunawapaga faida sana , halafu hawakumbukagi kabisa kurudisha fadhila kwa wateja wao.
Sasa njia ni nyepesi , Ukinywa wiki siku ya nane unalamba za bure.
Njooni tupeane namna ya...
Upambaji gani huu kama kazi uiwezi
Si uiache kuliko kuvamia fani msizozielewa...matokeo yake mnawananga.
Na kuwaharibu wenzenu na kuwafanya
Kama vinyago vya mpapule kwa kweli, mimi ndio...
Wasalaam.
Kumekuwa na kawaida sana kwamba watoto wadogo wakiniona wananiangalia sanaaaaa.
Halafu baadae wanaanza kucheka kweli kweli. Hadi wazazi wao wanaanza kushangaa maana huwa hawachekagi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.