JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Vipi wakuu mko poa za toka mwaka jana. hivi kuna member aliye fariki humu au tupo sote?
1 Reactions
11 Replies
878 Views
Salaam ziwafikie wapendwa. Kwa muda wa takribani miaka miwili sikuwa nimefika Dar kutokana na majukumu mengine niliyokua nayo Boder ya Namanga. Hivyo mambo mengi nilikua nayapata mji wa Nairobi...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Leo katika pitapia zangu mitaa ya Mugabe hapa Sinza nikiwa natoka zangu Law School ghafla nakutana na ukuta umeandikwa "Parking at Owner's Risk" ghafla nakumbuka uzi wa brother Gudume na style...
2 Reactions
51 Replies
3K Views
Kama wewe ni mtoto wa mke wa kwanza kwa mzee wako, njoo hapa tukumbushane shida na karaha tulizoziahudunia wakiwa mama zetu kisa mke mdogo. Watoto wa bi mkubwa tukikosa huduma huku watoto wa bi...
4 Reactions
60 Replies
4K Views
Habari wana JF! Siku yangu ya kwanza kupigwa ban ama kuwa banned ilikua ni mwaka huu tangu nijiunge toka 2013, basi mwak huu nimetumikia jela ya jamiiforums. Siku hiyo niliona watu wanafukua...
2 Reactions
178 Replies
7K Views
Wadada wawili wa mjini ambapo mmoja kazalishwa na mh mbunge na mwingine ndo current girlfriend wa mheshimiwa wako kwenye vita kali ya maneno mpaka mmoja kusema ataita press kuongelea kila kitu...
11 Reactions
165 Replies
11K Views
Nina mbao 9 kila mbao inatundu 9 kila tundu lina panya 9 kila panya ana watoto 9 je idadi ya panya wote katika matundu ya mbao zote ni wangapi?
1 Reactions
101 Replies
9K Views
Km mnavyotambua,furaha ni amani ya moyo. Basi mwenzenu tokea juzi nilipigwa ban ya hadi tarehe ya leo bila sababu yenye mashiko ila basi tu! Sasa leo ban ilipo expire mda wake si nikaingia fasta...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Wacha nasisi Tujuane humu Aisee nilimaliza pale miaka hiyooo ilikua noma sana one za kumwaga ,manunda wengi msuli kwa sana, menyu mesini utata, kirodi kwa babu miwa hahahahahh mama typist na...
3 Reactions
88 Replies
14K Views
Mvua hii inashawishi kweli
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Ilikuwa hivi jamaa alikuwa anatembea na mke wa mtu ikawa ndio tabia yao ikifika mida ya saa mbili usiku jamaa wanapanga kukutana na mchepuko wake hoteli moja iliopo kariakoo kwa ajili ya kupata...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
WACHAGAAAA MPOOOOOOO SHIMBONI SHAFOOO WACHAGAAAAA... HAYA MMESHAHESABIWAAA MKUJEEE HUKU TUWEKANE SAWAAA.... MAISHA YAMEBADILIKAAAA SASAAAA MFANYE KAZIIII KWERI KWERIII KIRU Haya sasa wale...
9 Reactions
225 Replies
19K Views
Wale waliokuwa wanaponda Bongo Movie Nimekeshea wiki 2 naangalia nilinunuaga kariakoo kule opposite na kanisa la lutheran Mbona Movie Nzuri sana.. sijui watu wanalalamikia wapi? Alafu yule jini...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Tanesco mtatuua nyie watu huyu kaka analalamika umeme ,kwamba demu wake akija na joto la Dar na mbu watapakana jasho haswaa kwa hiyo anawaomba wawashe[emoji23][emoji23][emoji23] mimi kwetu li...
1 Reactions
68 Replies
9K Views
Tangu huyu jamaa atiwe ndani ....sijamsikia tena VP ashaachiwa? Au amekosa smartphone.... Au kakosa Bando? Come back mfalme
0 Reactions
11 Replies
785 Views
HUU SIO MTONGOZO, ni neno la kuhusudu(word of admiration) kwa mwanamke ambaye nimekua nikifatilia michango yake humu JF MMU kwa takriban miaka mitatu kabda na baada ya mimi kua member wa blog hii...
13 Reactions
113 Replies
10K Views
Habari za mchana wazee, Hii kitu inani confuse sana hivi nini maana halisi ya wanaume wa Dar kama inavyotumika na watu wengi?.Je ni wanaume wazaramo (maana hawa ndio wenye asili ya Dar) au kuna...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Dah..!! Nakumbuka demu Pendo Alinimamata makofi mpaka nkaangukia kwenye beseni la mavyombo machafu Afu leo amekuja eti "baby nimekumiss" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
8 Reactions
88 Replies
6K Views
Kuna mwaka nilitaka kua full time boxer nikaenda kwenye klabu moja ya ngumi Mabibo, huku nikiwa na sare za shule, nikakutana na kocha wa pale baada ya kumueleza shida yangu akaniambia. "Ingia...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom