JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wewe ni nani? Upo hapa duniani kwa ajili gani? Nani aliyekuumba? Nini hatima ya maisha yako? Ukiondoka au ukifa unaelekea wapi? Je unakujua jehanamu? Jibu katika uelewako,mshirikishe na mwenzio.
0 Reactions
7 Replies
964 Views
Humu ni kama mtaa flani hivi!! Pigia mfano umetupwa humu kitaa kutafuta mwandani utamdanda nani!hata kama unafunga nae ndoa smile lako hadi gego litaonekana! Mimi ningemdanda nanihii hadi...
3 Reactions
187 Replies
8K Views
Yaani wakitembea wanatingisha!!! Yaani wanasema wanapunga hewa Au wanaonyesha uumbaji Wa maulana! Mitikisiko ya pwani hii jamani! Halafu unakuta kaumbika mtoto mashalaa! Unapishana nae unatamani...
6 Reactions
223 Replies
19K Views
Nilisikia ila sina hakika sana naona ile tarehe inazungumzwa sana nyuma ya "kibodi" sa sijui kwani watu wanatetemeka tetemeka baridi wakati huu msimu ni masika lakini bado joto linasumbua. acheni...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa nini kuna hulka kwamba mtu akienda msalani kwa long call(ku puuh) hataki mtu mwingine yeyote ajue ? iwe umekutanana nae atakausha vibaya sana... kuna nini ? kuna mtu ambaye hiyo hali haimtokei...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Huu wimbo hauna maadili kabisa Siufahamu jina Ila hii ni baadhi ya mistari take; " acha waisome nambaa eeeh" "Hutunywi sumu hatujinyongi" "Na wavimbe wapasuke"
2 Reactions
7 Replies
1K Views
5 Reactions
6 Replies
1K Views
kuna mtu leo kaniambia hivi Money Penny vijana wa sikuhizi wana vituko sana Kwanza wanalazimisha mapenzi -kama haupendwi kwanini unang'ang'ania msichana akupende? wengine wanakuwa wamesha-WOWA...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu ila naomba twende sawa maana kuwa watu sio waelewa kabisa! Kwakuwa tupo msimu wa Malkia wa Nguvu; toa yako ya moyoni utuambie Nani ambae unamkubali sana kuwa...
7 Reactions
411 Replies
24K Views
One bad chapter doesn't mean your story is over.
0 Reactions
0 Replies
395 Views
Wakuu kuna mdada mzuri sana amefungwa na anatarajia kuachiwa baada ya muda fulani (sio mfupi), nauliza kuwa naweza kumtolea mahari muda huu ili akitoka tu nimwoe? Ni mzuri sana na ni star.[emoji7]...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
kuna mambo mengine tusiwe tunayavumilia... watu tuambiane ukweli tu ili watu wenye hayo matatizo wabadilike. hamna haja ya kuoneana aibu wala noma. mimi naanza kwa kuwaweka wazi watu kadhaa kuwa...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Sina budi kumshukuru Muumba wa mbingu na ardhi kwa kuniasha salama na kuwa na afya njema. Mada yangu inahusiana na salam tu basi...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Haya kazi kwenu... Vyuma vimekaza chance ndo kama hizoo wenye vigezo mjilipue Mimi nimetumiwa tu binafsi nimeridhika na kakibarua kangu vya world Bank sio level yangu nikaona sio mbaya yaweza...
3 Reactions
6 Replies
722 Views
Wana JF, Greetings ! Natafuta wadhamini nimeshatuma maombi mbalimbali kwa wadau ili kupata fedha ya maandalizi na kuwalipa wafanikishaji wa mechi ya mpira wa miguu kati ya UVCCM dhidi ya BAVICHA...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Tupeane mawili matatu, usingizi hata dakika walau moja sijapata, nimeamua nitoke kidogo nizunguke zunguke walau niangalie mji, manake ndani hapakaliki, sijui sababu ya kukosa glisi? Karibuni
1 Reactions
30 Replies
2K Views
baada ya kuibuka upinzani mkali kati ya wanaume wa dar na wanaume wa mikoani, na tuhuma nyingi kuwaangukia wanaume wa dar,tuhuma izo kwa wanaume wa dar ni kama: 1.kukojoa...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Baada ya kutoka zangu chuo kupiga msuli. Nikarudi home nikitafakari mambo mengi makubwa tunayofaidi watanzania kutoka kwa uongozi uliotukuka wa Rais wetu mpendwa. Rais huyu ni kipenzi cha wengi...
1 Reactions
29 Replies
8K Views
Nina hofu na maisha ya upangaji,familia nyingi zinaishi kwenye nyumba za upangaji,wengine wamezeeka wakiwa kwenye nyumba za kupanga,wengine ndo wameanza kuishi kwenye nyumba za kupanga,siyo...
2 Reactions
2 Replies
574 Views
Mara paap!mbunge wa ccm kamuwish happy birthday mange kimambi[emoji512][emoji480][emoji322][emoji322]
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom