Kwanza niwatakie siku njema wakuu.
Nimejaribu kuwaza kwa sauti siku mimi mapipando nitakapo ondoka dunia hii ni nani atajua humu ndani?
Kweli tunafahamiana juu kwa juu,tunataniana, tunapeana...
Namshukuru Mungu siku hii ya leo kwa kunifikisha miaka kadhaa Tangu kuzaliwa kwangu.
Naamini kwa Neema zake atanifanya niiishi miaka mingi Mpaka kuiona ile nchi ya Ahadi aliyowahaidi wana wa...
Ijumaa kwa wafanyakazi wengi ni siku ya furaha na wengine wakaibatiza furah day (friday). nikimtizama usoni Somboko namwona kama ni mtu mwenye huzuni. binafsi sipendi kuingilia mambo ya watu...
*Nimesaidia mdada mmoja kubeba dum zake za,maji hadi floor ya nne huko*
*Then ananambie ety yaache hapo,hapo,nje Boyfriend wangu atayaingiza ndani*
*Saivi nipo nayarudisha chini*
*Spendagi...
Sipendi kuwa taja au kuwatag ili wajijue lakin na hakika wengi mnawajua wao kila uzi wamo utaona anaandika rubbish, mara nyambafu mpk unaanza jiuliza nimemkosea nn mpka anatoa maneno ya kashfa...
Hivi mnakumbuka hawa wadudu fuku fuku jaman tulikuwa tunawaweka kwenye maziwa kipindi tupo wadogo ili tukikuwa maziwa yawe makubwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pembeni ya nyumba yetu...
Hello ndugu , Mimi ni mmoja wa asili ya kabila hili but nimekuliaa sehememu tofauti ambapo hawazungumzi hii lugha na hua na tamani sana kujua kuongea lugha yangu ambayo ni asili ya ukoo wangu...
Kutoka kanda maalumu ya Ushindi wa wanaume wa mikoani tumepata taarifa ya kusikitisha kuhusu hawa wanaume-wanawake wa dar!
Walianza miwa kuwa wanamenyewa nakukatiwa vipande vipande ili watafune...
Nimeshindwa kabisa kabisa kuachana na hii 'materials' pendwa duniani kote! Moshi wataalamu sana wa kutengeneza na kula kitimoto. Ukiwa Moshi tembelea Minjas Pub Majengo. Kiboloroni. Msonge...
Habari ndugu/ jamaa wa jf!
Leo nimeshtushwa na baadhi ya response toka kwa wana jf ambao sijui tuseme ni makusudi kwa kudhamiria au bahati mbaya, wamekuwa na tabia ambayo inanipa mashaka...
NETWORK INAPOSUMBUA
Halaf msichana unayempenda kupita maelezo Anakuambia hivi..
GIRL: do u love me
BOY: sana tu!(messege failed)
GIRL:sas c unijbu jaman
Boy:nakupendaa(messege failed)
GIRL:mbn...
Nikiwa kama Mtanzania ambaye nimewahi ama kupata bahati sana ya kutembelea karibu 98% ya Mikoa iliyopo nchini Tanzania nimegundua ya kwamba kuna Mikoa ambayo ukibahatika tu kuitembelea na kama...
Kwa maisha tunayoishi jf ya ufahari mkubwa
Magari ya bei mbaya!
Majumba ya kifahari
Kazi nzuri nzuri
Mavazi ya kifahari
Jf hakuna aliyepanga chumba kimoja labda Nyumba nzima kodi 3 millions...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.