Kwenu wana jf.....marafiki niwapendao sana kwa vile uwepo wetu kwa pamoja ndio unofanya jf... iwe active...
Ni marafiki ndio japo kuwa hatujuani ...hatufahamiani...lakini tunaelewana tena...
Kwani kutafsiri kiingereza kwenda kiswahili ni ngumu? Ah wapi, jamaa aliona ni simpo tu. Angalia alivyotafsiri.
Kiingereza: Zimbabwe’s main opposition leader, Morgan Tsvangirai, has died aged 65...
Teacher: How old is your father?
Kid: He is 6 years.
Teacher: What? How is this possible?
Kid: He became father only when I was born.
(Logic!! Children are quick and always...
Nimemda dukani kwa mangi nimenunua sabuni ya 500 nadai mfuko ananiambia kitu cha 500 nikufungie kwenye mfuko, ingekuwa 1000 labda nikarudisha sabuni nikasema nipe vocha ya 1000 alivonipa nikadai...
Zijue aina nne za michepuko:
1. MCHEPUKO LAMI
Huu ni ule ambao hauombi Pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu.
2. MCHEPUKO VUMBI
Huu ni ule wa vibomu...
Salute,
Binafsi sijawahi kwea pipa, so kuna maswali najiulizaga sana, hivi mtu akiwa angani na ndege huwa wanaona kila kitu kilichoko chini?
Kwenye basi huwa tunaona sana vitu vilivyopo...
Habari wana JF,
Nimekua nikikereka sana ninapokwenda bar na kupata usumbufu na kukereka sana. Yaani mchana najipigia bia zangu lakini inzi kibao nakua nina kazi ya kupepelea mikono kuwafukuza...
Aman iwe nanyi wakuu wa jukwaa
Kama kichwa cha habar kinavyosomoka hapo juu
Lagos nigeria. Kijana mmoja khamis mohamed amefariki dunia siku ya wapendanao baada kufanya mapenz kwa njia ya mkono...
Salam wote.
Kuna taarifa kuwa asilimia kuwa asilimia kubwa ya wanaume wa ukanda wa mwanza hasa Geita hawajafanyiwa tohara. Utafiti unasema kuwa, tohara inapunguza maambukizi ya HIV kwa 60%...
Ebu Tuambiane ukweli katika hili please!!
Upo home unaishi na wazazi pamoja na
dada yako,
sasa dem wako anakwambia bwana
nataka nije kwenu alafu ukicheki home msala kwa wazazi sasa unampanga...
Wamama/wadada mpo ???? Leo nataka kusema na nyinyi kidogo sana
Hivi kipindi wewe ni msichana unatembea na mume wa mtu unasababisha ile familia inalala njaa ,,watoto wanakosa ada,, mke anaonekana...
Nilifungua ule uzi wa kuwasimanga kama kawaida yenu mnavyotusimanga wanawake wa jf,,wengine mapovu ya uhakika halaf hata nguo chafu sina,niliyaoga tu hakuna namna.
Siku hiyo kuna mwanaume...
My husband, thank you for being there for me, you always make me feel special. Our imperfections make us perfect for each other.
I love you Asprin and Happy Valentine 2018 from Sky Eclat your wife.
Hawa jamaa wa bodaboda akikubeba wanakuongelesha,Halafu husikii kwa sababu ya upepo..unabakia kuitikia eeeh eeh ,ndio ndioo*
*Unaeza jikuta umekubali kuolewa hivi hiv bila kujijua...Nikupeleleke...
Natamani kuwa na huyu mwanaume kwenye siku ya valentine day,aniambie popote alipo ntamfata kwa gharama zangu,ananikosha sana nyonga zangu,simmalizi nikimfikiria, niitieni anitoe hamu nataka...
SAA 12 asubuhi.
BABA;- baba, unaamka sasa hivi au unalala lala kidogo..
MTOTO;- Hapana baba nimechoka
ntaamka saa 5 jana nilichelewa kulala nilikua naangalia PRISON BREAK season 5, kumbe michael...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.