JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwa watumiaji wa mtandao wa Jf ama "GT" kwa jina lingine watakiri kwamba moja kati ya sifa kubwa za mtandao huu ni watu kuwa na sifa ya GT. Sifa hii ya pekee hufanya jamiiforums kuwa na sifa ya...
0 Reactions
8 Replies
863 Views
Dar mapenzi haya huyu dada tuna mwezi .leo sasa tulipanga vizuri akitoka kwenye majivu kanisani tuonane tutoke. Ila mpaka sasa nikimpigia Simu hapokei. Hapa nilipo natamani ardhi ifunguke inizamishe
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Wana jf Hivi inakuaje mwanaume mzima na akili timamu unashindwa kumiliki hata ka paaso , IST au vitz kila siku unakimbizana na makonda kwenye dala dala? . Siku hizi yard za kuuza magari ziko kila...
11 Reactions
152 Replies
13K Views
Huu uzi ni kwa ajili ya wanajamiiforum kutakiana usiku mwema huku ukitaja na ukishukuru jamiiforum kwa habari uliyoipata humu na mijadala iliyokukosha Mjadala wa leo ambao nimefurahia ni ule wa...
0 Reactions
0 Replies
576 Views
eti competent student ana sifa zipi?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Haya maisha ya kulipa kodi haya, kodi yenyewe laki tano kwa mwezi. Ulitakuwa uilipe 01/01, ndiyo kwanza umefanikuwa kuikamata yote leo. Inamaana una wiki moja tu ya kulala kwa amani kablavya...
7 Reactions
11 Replies
2K Views
wakuu kuna bint wala sio dem wangu ila ni rafiki wa haja,yan friend wit benefits,.ndo nipo njian narud zangu nikutane nae bamaga hapo sasa nmemdanganya nishafika tayar kwenye eneo la tukio,(baa)...
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Kijana kutoka Malawi, mama yay je alipata shida sana kupata mtoto mpaka herbalist alipompa kamuzu yaani kamzizi alikachemsha na kunywa maji matokeo yake alishika ujauzito na kumpa mtoto jina...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Ivi nikwanini nikiwa natongoza mwanamke huwa najihakikishia nitampata na ikitokea kanipiga chini nanuna? Sasa hicho kinacho nifanya kununa ndio huwa sielewi kwanini iwe hivyo na huku ni kawaida tu...
0 Reactions
8 Replies
768 Views
Amani iwe kwenu wana JF, Leo nimeona nizungumzie katafiti uchwara kadogo nilikokafanya juu ya usafi binafsi hasa wa wanaume. Wanaume wengi wakitoka kujisadia haja ndogo huwa hawanawi mikono. Kwa...
1 Reactions
35 Replies
2K Views
Kuna nguo dada zangu walikua wanazivaa kitambo hicho zilikua zinaitwa shumizi na nyaya pensi hivi dr. Ndodi wa haleluya sanitarian clinic yuko wapi?
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Miguu michafu ya kina lukaku na sanchez, Miguu Iliyobeba nyayo zenye vumbi la dhambi. Ilipothubutu tu kuikanyaga ardhi takatifu ya Mtakatifu James. Ardhi ikapiga kelele ishara ya kwamba kuna watu...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa muda sasa nimegundua watu kwa asilimia kubwa tunaangalia (notice) vile vitu ambavyo tunataka kuangalia na vinatuvutia (vice-versa is true). Yaani kama ukiamua kutafuta uzuri wa mtu au kitu...
0 Reactions
0 Replies
475 Views
Bichwa ka pakacha la embe Miguu ka spoko za baskeli Kiuno ka ndondora Pua ka honi za pantoni Twende kaka twende....
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Kutokana na kuwa na wafuasi wengi sana duniani na kwa uelewa tu mdogo yakwamba ufanisi unaanzia kwenye upendo sasa mnaonaje kama serikali zetu zitairasimisha siku ya wapendanao kuwa siku ya...
0 Reactions
0 Replies
497 Views
Kuna yale matani ya kuzihusu timu mbalimbali,hasa timu ya dunia ambae ni mume wa timu zote ndogondogo duniani,nadhani inajulikana..... Zlatan on Alexis: ''He's smaller than I thought! He was...
0 Reactions
1 Replies
881 Views
Kama kichwa cha habar kinavyo someka hapo juu Aman iwe nanyi wapendwa Mimi BOY FROM LONDON nawatakia siku kuu njema ya wapendanao Nawatakia kupendana kwema, mpendane had siku ya kiama na...
1 Reactions
16 Replies
955 Views
Salute, Naomba kufahamishwa gharama za kukata bima ya pikipiki (insurance). Na ni hatua gani unapita hadi kuipata hiyo bima. Nawasilisha. By Young Dimaa.
0 Reactions
23 Replies
23K Views
Ikiwa kama njia ya kupunguza stress za maisha au kwa mfano ningekua na takwimu ningesema kujisahaulisha ukazaji wa vyuma[emoji23] [emoji23] .Hebu tujikumbushe story za watumiaji wa huu mmea wa...
2 Reactions
29 Replies
9K Views
wanaume wadar wengi maisha yao mbaya harafu wanatuponda wamikoani wengi wanakula mlo wajioni mchana unapita. wanaishi kwenye nyumba mbovu kuliko hata sisi wamikoani. Wale waonaoishi mbali kwenda...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom